Manchester United yamweka katika rada zake Harry Kane MANCHESTER United inafanya mpango wa kumsajili straika wa Bayern Munich, Harry Kane, 32, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Lina Tour msimu wa nne waanza kurindima leo Morogoro WACHEZAJI takribani 137 wamejitosa kushiriki mashindano ya Lina PG Tour msimu wa nne yaliyoanza leo kwenye viwanja vya Gofu vya Gymkhana mkoani Morogoro.
Mkurugenzi Mtendaji CECAFA asimamishwa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wake, Auka John Gecheo, kufuatia uamuzi wa Kamati Tendaji ya baraza hilo.
Jeraha la Palmer tatizo Chelsea CHELSEA ipo katika njia panda kuhusu mbinu gani katika kutibu tatizo la nyonga la staa wao Cole Palmer, ambaye kuna njia nyingi ikiwamo upasuaji.
Majeruhi Liverpool, Slot kichwa kinauma BAADA ya beki chipukizi Giovanni Leoni kupatwa na majeraha katika mechi ya mashindano ya Carabao dhidi ya Southampton, kocha wa Liverpool, Arne Slot sasa kichwa kinauma.
Wanafyekwa! Ripoti ya kocha Man United ipo hivi KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim ameshawasilisha baadhi ya sehemu za ripoti yake ya usajili wa dirisha lijalo la majira ya kiangazi ambayo inaonyesha beki Harry Maguire ataongeza mkataba...
Shida ni hii, langoni Chelsea kuna shati WIKI kadhaa zilizopita, mchezaji wa zamani wa Liverpool na mchambuzi wa Sky Sports, Jamie Carragher, aliwakasirisha mashabiki wa Chelsea baada ya kusema kipa wao Robert Sanchez na mabeki wao wa...
Wakazi Dar wazidi kujiachia na mnada mtandaoni, zawadi kemkem FURAHA inazidi kuongezeka kwa wakazi wa Dar es Salaam kutokana na kushiriki mnada mtandaoni na kujishindia zawadi mbalimbali na pesa.
Bondia afariki siku 11 baada ya kichapo cha KO BONDIA wa Ghana, Ernest Akushey amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 32 siku chache baada ya kupoteza pambano kwa kichapo cha knockout (KO).
Arteta kawa mbogo, awajibu Gary Neville, Jamie Carragher KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amepuuza madai ya wachambuzi waliosema kuwa Arsenal inacheza kwa kusita sita na kusisitiza kwamba falsafa yake ndiyo inayozalisha mashambulizi zaidi katika soka la...