Akpan hajui lolote KIUNGO mpya wa Simba, Victor Akpan anayetajwa kutakiwa kutolewa kwa mkopo Coastal Union, amesema hajui lolote juu ya dili hilo linaloelezwa kufanywa kwa sababu ya kocha Zoran Maki kutokubali...
Ishu ya kurudia nguo, Idris avunja ukimya MCHEKESHAJI Idriss Sultan amemwaga povu kwa watu waliomshupalia amekuwa akirudia nguo baada ya kumshtukia hivi karibuni.
Walles Karia achukua Jembe Mwanaspoti MWANDISHI Mwandamizi wa Mwanaspoti, Gift Macha ameteuliwa na Rais wa Shirikisho la soka Tanzania Walles Karia kuwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya tuzo mbalimbali za Ligi Kuu Bara...
Wafanyakazi wa Hoteli ya Oakland’s Afrika Kusini wamlilia Kibonde Wafanyakazi hao walikutana na Mwandishi wa MCL Digital, Edo Kumwembe na kuzungumza naye, huku wakionyesha hisia zao na kuwaombea familia yake kuwa na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu cha...
Syllersaid Mziray 'Super Coach' afariki MMOJA wa makocha wasaidizi wa timu ya Simba, Syllersaid Kahema Mziray 'Super Coach' amefariki.
Mabosi PSG wanamtaka Lamine Yamal MABOSI wa Paris Saint-Germain wameripotiwa kuwa na imani kwamba watamng'oa Lamine Yamal kutoka Barcelona.
Roma Mkatoliki awafyatukia waandishi wa habari Msanii anayetamba na wimbo wa Zimbabwe Roma Mkatoliki katika mahojiano na mwandishi alitoa povu lake zito kwa vyombo vya habari hususani watangazaji ambao wanaponda kazi zake kwa kusema...
Ishu ya Mukoko, Ninja Yanga iko hivi Mwanaspoti ambalo ndilo gazeti pekee la Tanzania lililotuma Mwandishi nchini Morocco, limewashuhudia na linaweza kuthibitisha kwamba mastaa wa Yanga, Shaibu Ninja na Mukoko Tonombe wako...
Kesi ya Kazimoto yapigwa kalenda KESI ya kumshambulia Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Mwananchi Communications (MCL), Mwanahiba Richard, inayomkabili mchezaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto imepigwa kalenda hadi Mei 2.
Kusah: Ruby hanilei, tunaleana MZAZI mwenzie msanii Ruby, Salmin Ismail anayejulikana kwa jina la Kusah, amesema halelewi na msanii huyo.