Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Roma Mkatoliki awafyatukia waandishi wa habari

Muktasari:

  • “Mi sipendi kabisa mtangazaji akisema nyimbo yangu mbaya, sababu watangazaji na waandishi wa habari nyie ni kama sauti ya watu wengi hivyo kuponda kwako unaweza kumwaminisha hata ambaye hajahusikia,” alilalamika.

Msanii anayetamba na wimbo wa Zimbabwe Roma Mkatoliki katika mahojiano na mwandishi  alitoa povu lake zito kwa vyombo vya habari hususani watangazaji ambao wanaponda kazi zake kwa kusema kwake ni kama kirusi.

“Mi sipendi kabisa mtangazaji akisema nyimbo yangu mbaya, sababu watangazaji na waandishi wa habari nyie ni kama sauti ya watu wengi hivyo kuponda kwako unaweza kumwaminisha hata ambaye hajahusikia,” alilalamika.

“Bora unambie mimi naweza nikafanya kitu kizuri kwa kazi nyingine lakini ukisema mbele ya watu wengi huwa namaindi sana na sipendi kwa kweli,” aliongeza.

Baada ya ishu yake ya kutekwa kutokea Roma ameongeza kuwa kwa sasa yupo makini sana kuanzia simu na hapokei simu kwa namba ngeni kama ilivyokuwa mwanzo yote sababu ya kujiweka vizuri na usalama wake.

“Kwa sasa sipokei wala sijibu meseji nisiyoijua sababu ya usalama zaidi,na nakiri wazi kabisa baada ya tukio