JKT yavuta 20 milioni ikiizamisha Mtibwa USHINDI wa mabao 2-1 ilioupata timu ya JKT Tanzania leo dhidi ya Mtibwa Sugar umewafanya mastaa wa timu hiyo kushinda bonasi ya Sh20 milioni kutoka kwa uongozi wa maafande hao huku ukiididimiza...
Simba, KVZ zaanza kufukuzia mil 50 WAKATI KVZ ikiialika Simba katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Muungano leo kuanzia saa 2:15 usiku katika Uwanja wa Amaan, timu zinazoshiriki zimetangaziwa zawadi ya Sh50 milioni kwa itakayobeba...
Raska Zone hesabu kali wakiitisha KVZ Nahodha wa kikosi hicho, Ramadhan Yussuf Isaa alisema licha ya kuwepo kwenye mapumziko ya mwezi mmoja lakini wamerudi wakiwa na nguvu na ari mpya na wapo tayari kuipambania timu hiyo.
PRIME Ukiwa na macho ZPL marufuku BODI ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPLB) kupitia kwa Mtendaji Mkuu, Issa Kassim ameliambia Mwanaspoti hawatamruhusu kucheza mechi mchezaji yeyote atakayebainika kuwa na tatizo la macho mekundu maarufu...
Kinachoendelea Kwa Mkapa muda huu | Mashabiki wafunguka utabiri wa mabao Yanga vs Simba Mwananchi Digital 953K subscribers
Balama: Kama si Yanga ningeacha soka CHANGAMOTO katika maisha ni vitu vya kawaida, lakini kuna nyingine huwa zinakatisha tamaa na kama mtu ana roho ndogo ni ngumu kutoboa. Hutokea bahati tu, mtu akizungukwa na watu wenye kujali na...
Dabi ya Mashemeji... K'Ogalo yaizamisha tena Ingwe BAO pekee la dakika 30 lililowekwa kimiani na Austine Odhiambo limeiwezesha Gor Mahia kuizamisha tena AFC Leopards katika pambano la Dabi ya Mashemeji lililopigwa jioni ya leo Jumapili, jijini...
Thiago Silva aaga Chelsea kwa machozi LONDON, ENGLAND. BEKI wa kati wa Chelsea, Thiago Silva, 39, amethibitisha huku akitokwa na machozi kwamba ataachana na miamba hiyo ya Stamford Bridge mwishoni mwa msimu. Katika taarifa aliyoitoa...