Imefichuka! Arsenal ni wazee kuliko Man United HIVI unajua kuwa Arsenal ni wazee kuliko Manchester United?
Mastaa wanaolipwa kibosi unaoweza kuwaona Afcon 2025 MCHAKAMCHAKA wa mikikimikiki ya mashindano ya soka ya Afcon 2025 utarajiwa kuanza Desemba 21 huko Morocco, huku wengi wakisubiri kwenda kuona ni taifa gani litakaloibuka na ubingwa huo.
PRIME Dakika 270 za mnyukano Ligi Kuu MSIMU wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025-2026 unaelekea ukingoni huku zikibaki raundi tatu pekee, sawa na dakika 270 za uamuzi mgumu kwa kila timu, kabla ya pazia kufungwa rasmi.
Mbongo na kibarua cha kuibeba Qatar Kombe la Dunia NYOTA mwenye asili ya Tanzania, Akram Afif anatarajiwa kwa mara nyingine tena kuiongoza Qatar katika fainali za Kombe la Dunia 2026 baada ya kujumuishwa kwenye kikosi cha awali cha wachezaji 34...
Boli la Arsenal na utamu wa ubingwa EPL msimu huu BAADA ya miaka 22 ya ukame wa mataji, Arsenal wako karibu kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England unaokuja kutokana na mtindo wao wa mchezo ambao huenda usiwe maarufu kwa wengi, lakini mafanikio hayo...
Sintofahamu Kombe la Dunia 2026 likikaribia KOMBE la Dunia limekuwa likitajwa kama tukio linalounganisha dunia kupitia mchezo wa mpira wa miguu, lakini zikiwa zimebaki takribani siku 70 na ushei kabla ya kuanza kwa mashindano hayo picha ya...
Uhamisho matata unaosubiriwa dirisha kubwa Ligi Kuu England UMEBAKIA mwezi mmoja tu kabla ya pilikapilika za usajili wa wachezaji kuanza kushika kasi katika ligi mbalimbali dunia, ambapo tayari majina ya mastaa kadhaa yamekuwa kwenye vichwa vya habari...