Jokic kupenya bato la NBA MVP msimu huu? NIKOLA Jokic anaendelea kupona taratibu, hali inayompa Luka Doncic nafasi ya kupanda hadi nafasi ya pili kwenye kinyang'anyiro cha kuwa mchezaji bora wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) yaani MVP...
Huyu hapa mtu anayemfanya Carrick kutisha Man United WAULIZE watu wanaomfahamu vizuri Steve Holland watakueleza vyema juu ya mtu huyo aliyekuwa kocha wa Chelsea na England kwa namna alivyokuwa fundi.
Hii hapa Coastal iliyozitesa Simba, Yanga ikabeba ndoo! KWA mashabiki wa soka wa Tanga, kuna misimu miwili tu ya Ligi ya soka nchini ambayo ni migumu kufutika vichwani mwao, mmoja ni ule wa mafanikio makubwa kisoka na mwingine wa huzuni ulioshuhudia...
Drafti ijayo ya NBA ni vizazi vya wakongwe? WATOTO wa staa wa zamani wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), Carlos Boozer wanakiwasha haswa katika mashindano ya vyuo huko Marekani, wakiisaka nafasi ya kuchanguliwa katika 'draft' ya mwakani ya...
Kama huwajui vigogo wa Afcon 2025, ni hawa hapa MASHINDANO ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 yanaleta pamoja timu bora zaidi kutoka bara zima la Afrika kuonyesha ubabe huko Morocco.
Una ushuzi? Ajira hii hapa changamka! KATIKA jamii nyingi hapa nchini na Afrika kwa ujumla suala la kushuta (kujamba) hadharani tena mbele ya waliokuzidi umri, huonekana kama ni kitendo cha kukosa heshima.
Senegal walipigaje pale? Cheki namba zinavyoongea SENEGAL ni wa ajabu sana! Walibezwa mechi mbili za mwanzo ambazo waliambulia matokeo ya fedheha katika Kombe la Dunia 2026, baada ya kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Ufaransa kisha kunyukwa...
Kombe la Dunia 2026 tunaanza upyaaaa NDIYO. Kama alivyosema mshambuliaji wa England, Harry Kane na Kocha wake, Thomas Tuchel, Kombe la Dunia linafanana na mashindano mawili. Ya kwanza yameisha na sasa yanaingia ya pili, hatua ya 32...
El Clasico: Barca ikitafuta ubingwa, Madrid ikipanga kuvuruga sherehe Camp Nou MAMBO ni moto! Wakati Barcelona wanapojiandaa kuwakaribisha Real Madrid katika mchezo wa Ligi Kuu Hispania (LaLiga) unaotarajiwa kupigwa leo, Jumapili, kuanzia saa 4:00 usiku, kuna vitu vya...