Tanzania ya Samia michezoni MOJA ya nyakati nitakazozikumbuka kwa muda mrefu katika utumishi wangu kwenye michezo ni Aprili 4, 2017.
Mashabiki wampa tahadhari Solskjaer OLE Gunnar Solskjaer ataambia watu nini. Manchester United imekumbana na vichapo vitatu katika mechi nne za mwisho, presha inazidi kumpanda kocha huyo.
Hongera Majay kwa kumsubiri Lulu akue STAA wa Bongo Movie, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na CEO wa E Media, inayomiliki redio EFM na luninga ya ETV, Francis Ciza ‘Majay’, wameshatangaza ndoa. Mipango inaendelea ya wao kuelekea kukamilisha...
King Kibaden : Mzaramo aliyepewa uchifu Songea-2 Kocha huyo aliyezaliwa katika familia ya watoto wanane, anasema soka la wakati huo ilikuwa ni zaidi ya uwanjani, timu inayokusajili ilikuwa pia inajivika jukumu la kuhakikisha unapata ajira na...
Darasa: TP Mazembe inatoa mafunzo haya kwa Simba, Yanga TP Mazembe inajiweza. Ni timu ya sayari nyingine ukifananisha na timu za Simba na Yanga ambazo ndizo kubwa zaidi kwa Tanzania. Ni kama kufananisha mdoli na binadamu.
Ulevi wa Shisha wavamia Dar >KUNA ulevi mpya umeibuka Dar es Salaam na imethibitika kwamba umeteka asilimia kubwa ya vijana wa jiji hilo. Kitaalam imeelezwa kwamba ulevi huo una athari kubwa za kiafya kwa watumiaji.
MZEE WA UPUPU: Mkasa wa Lineker na unafiki wa wazungu MARA nyingi nchi zilizoendelea zimekuwa zikijigeuza askari wa kuchunga nchi nyingine kwa kila zinachofanya. Yaani hawa walioendelea hudhani wanaoendelea hawawezi kuwaza, hawawezi kufikiria na...
MZEE WA UPUPU: Diamond, Zuchu picha lilianzia kwa dada mtangazaji DIAMOND Platinumz na Zuchu wameudhihirishia ulimwengu wa mashabiki wao na muziki kwa ujumla kwamba wanaishi kwenye sayari ya ndoto zao, sayari mapenzi! Hii ni baada ya tetesi nyingi na za muda...
Chuma Casemiro kinaondoka, watu wa kazi wagombea buti zake! KIUNGO wa boli, Casemiro ataondoka Manchester United mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu.