Kikosi bora cha msimu Ligi Kuu England 2025-26 LIGI Kuu England (EPL) ilimalizika mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini kwa sasa kinachoendelea ni juu ya mambo yaliyojiri wakati mchuano wa kusaka taji hilo unaendelea, huku namba za wachezaji...
KISIWA CHA MAUTI - 13 “Ngoja nipige simu niulizie. Kama unaniletea utani nitakuweka ndani sasa hivi!”
Majina makubwa yameondoka, nani kuwa kocha mkuu mpya EPL? KWA mashabiki wa soka la England waliyazowea majina ya makocha bora watano waliokuwepo miaka ya karibuni. Lakini, kwa sasa wameondoka. Nani atakuwa kocha mkuu mpya katika Ligi Kuu England?
USAJILI: Siri ya dili za Pauni 100 milioni MIAKA 34 iliyopita, usajili wa pauni milioni 13 ulimtikisa kila mtu nchini Italia.
Carrick: Sijahisi kusalitiwa Manchester United MANCHESTER United imeendelea kujikuta kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kuifunga Tottenham iliyobaki na wachezaji 10, matokeo yaliyoongeza presha kwa kocha Michael Carrick na hatma ya timu...
Matokeo yalivyowaponza mabosi Manchester United TANGU baada ya Sir Alex Ferguson kuondoka Manchester United, makocha mbalimbali wa klabu hiyo wamekumbana na matokeo yaliyogeuza upepo dhidi yao na hatimaye kuchangia kufutwa kazi.
Kompyuta yatabiri bingwa Kombe la Dunia TOFAUTI na fainali zilizopita za Kombe la Dunia, mwaka huu inaingia kwenye historia hata kabla ya kuanza kwa sababu ni mashindano yatakayokuwa na ukubwa ambao haujawahi kushuhudiwa.
Historia yabakisha timu tano tu Kombe la Dunia 2026 KOMBE la Dunia 2026 linakaribia kuanza huku mataifa 48 yakijiandaa kushindania taji kubwa zaidi katika soka. Lakini pamoja na ongezeko la timu, mechi na ushindani mkubwa kuliko wakati mwingine...
Afrika katika mtego wa fainali Kombe la Dunia 2026 PAZIA la Kombe la Dunia 2026 limefunguliwa jana, Alhamisi katika nchi ya Mexico huku Bara la Afrika likiwa katika mtego wa kihistoria wa mashindano hayo, ikiwa na wawakilishi 10 kwa mara ya...
Maeneo ya 'kula bata' Kombe la Dunia 2026 KOMBE la Dunia 2026 litakalofanyika kwa pamoja katika nchi tatu kubwa za Amerika Kaskazini, Marekani, Canada na Mexico utakuwa mtoko wa kipekee na wa kihistoria utakaochanganya soka, utalii...