Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

10009 results for Mwandishi :

  1. Nani ni nani mchuano wa mchezaji bora EPL

    MASTAA walioteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora msimu wa Ligi Kuu England 2025-26 tayari imetolewa na wiki ijayo, Mei 23, mshindi anapatikana wakati michuano hiyo ikiwa katika hatua za mwisho...

    TUZO Pict
  2. WE ACHA TU! Penalti 10 zinazouma zaidi kwenye mchezo wa soka

    MIKWAJU ya penalti hutengeneza nyakati zisizo na huruma kabisa katika mchezo wa soka.ngekuwa na bunduki, ningejipiga risasi. Wakati huo nilitaka kufa. Ndivyo ilivyokuwa.”

    PENALTI Pict
  3. EVODY: Beki aliyewazima mastaa Simba akiichezea Mtibwa Sugar

    HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora baada ya dakika 90 kutamatika.

  4. Ahsante Morocco, tungoje ya Gamondi

    ZAMA za kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ katika timu ya taifa zimefikia tamati baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza Novemba 4, 2025 kuwa haitaendelea naye sambamba na benchi nzima...

    MOROCCO Pict
  5. ZILIPIGWA: Mapambano 10 bora zaidi ya ngumi duniani muda wote

    JANGA la Uviko-19 liliyafanya mambo mengi katika maisha ya binadamu kusimama. Miongoni mwa hayo mapambano mengi ya ngumi ambayo mashabiki walikuwa wakiyasubiri kwa hamu yaliahirishwa.

    NGUMI Pict
  6. MAYWEATHER VS PACQUIAO: Miaka 10 tangu pambano la karne!

    ACHANA na lile pambano la ‘The Rumble in the Jungle’ lililopigwa Oktoba 30, 1974 nchini Zaire (sasa DR Congo) kati ya Muhammad Ali dhidi ya George Foreman ambalo ndilo linalotajwa kuwa bora la...

  7. Fury, Usyk waletewa ‘Bwa mdogo’

    KAMA kawaida yao Waingereza wameanza kupigia kelele jambo lao, si unawajua walivyo wakiwa na la kuongea, sasa mdomoni mwao yupo Moses Itauma ambaye ni kati ya mabondia hatari ambao wanachipukia...

    NGUMI Pict
  8. Ujio mpya wa Mr Money ngumi za kulipwa duniani

    FLOYD Mayweather Jr maarufu kama Mr Money, ameamua sasa kufanya kweli katika ulingo wa ngumi za kulipwa duniani, akifanya mazoezi ya ‘kufa mtu’ nyumbani kwake huko Las Vegas, Nevada, Marekani...

  9. Geay, Dinday warejea kutoka Daegu Marathon

    WANARIADHA wa kimataifa wa Tanzania, Gabriel Geay, Emmanuel Dinday na Benard Geay, wamerejea nchini wakitokea Korea Kusini walikoshiriki mashindano ya Daegu Marathon yaliyofanyika Februari...

    GAEY Pict
  10. Utata pambano la Usyk, Verhoeven

    BARAZA la Ngumi Duniani (WBC), limeibua tena mjadala mkali kutokana na uamuzi wa kutatanisha walioutoa kuhusu pambano la uzito wa juu kati ya Oleksandr Usyk dhidi ya mpiganaji wa kickboxing, Rico...

Previous

Page 919 of 1001

Next