Kocha Simba kutajwa Dar es Salaam. Uongozi wa Simba umesema wiki hii utamtangaza rasmi mrithi wa Sven Vandenbroek pamoja na kocha wa makipa atakayechukua nafasi ya Muharami Mohamed. Simba inafanya mabadiliko kwenye...
Simba yafafanua sakata la FCC Dar es Salaam. Siku chache tangu Tume ya Ushindani (FCC) kutangaza kuanza kufanya uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba, inayowahusu wadaawa watano Bodi ya Wakurugenzi wa klabu...
Manyama aikacha Namungo DIRISHA dogo la usajili limefungwa rasmi huku beki Edward Charles akiachana na Namungo FC inayoshiriki michuano ya kimataifa ambapo amejiunga na Ruvu Shooting ya Pwani. Manyama ameichezea...
Mechi 3 za heshima Stars FAINALI za Chan zinaanza leo Januari 16 nchini Cameroon. Zitapigwa mechi mbili za kundi A. Moja saa 1 usiku mwenyeji Cameroon kukipiga na Zimbabwe. Saa 2 usiku Mali watacheza na Burkina Fasso.
Yanga yashusha straika Mrundi YANGA imefanya sapraizi ya dakika za lala salama za usajili wa Tanzania Bara baada ya kumalizana na straika Mrundi, Fiston Abdulrazak. Huo unakuwa usajili wa pili wa Kocha Cedrick Kaze raia wa...
Caf yalegeza kanunia za Corona CAF imesisitiza kwamba kanuni hizo mpya zimeanza kufanya kazi kuanzia Januari 15 mwaka huu.
FCC yaanza uchunguzi mabadiliko Simba Tume ya Ushindani (FCC) imeanza uchunguzi wa mfumo mpya wa uendeshaji wa klabu ya Simba ambao inawahusu wadaawa watano.
Ulimwengu kalianzisha tena huko TP Mazembe NANI aliyekuambia Thomas Ulimwengu amefulia? Moto alioanza nao kwa sasa ndani ya TP Mazembe, umemfanya kocha wa timu hiyo, Kazembe Mihayo kukiri jamaa kwa sasa karudi upyaa na atawasumbua sana...
Simba, Yanga ubabe ubabe Unguja. Si Yanga wala Simba aliyeweza kutikisa nyavu za mpinzani wake katika dakika 45 za kipindi cha kwanza kwenye fainali za Kombe la Mapinduzi zinazofanyika Uwanja wa Amaan kisiwani...
Fainali ya maajabu, Yale ya Mapinduzi 2011 yanaweza kujirudia tena? SIKU 9 za kusisimua zilizoanikiza msimu wa 15 wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2021 zinahitimishwa usiku wa leo wakati utakapocheza mchezo wa fainali. Watani wa jadi wa soka la Tanzania, Simba...