Super 8 kwa faida ya nani? NIMEWASOMA kwa umakini sana wachambuzi wa soka nchini na baadhi ya viongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) wakichagiza na kushadadia kurudishwa kwa Ligi ya Muungano, wenyewe wanataka iitwe...
Udanganyifu wa umri KATIKA toleo la Ijumaa iliopita tuliona jinsi tatizo la udanganyifu wa umri linavyoanza baada ya uchunguzi tulioufanya kwa wachezaji Nurdin Bakar na Mrisho Ngassa ambao wote wamewahi kuzichezea...
Kuna sababu nyingi za kumpenda Ronaldo Mashabiki kibao wamekuwa wakimpenda kwa soka lake, lakini mwenye mafanikio hakosi pia wanaomkosoa, na ndio maana Mreno huyo ni moja ya wakali wasiopendwa pia ndani ya uwanja, wakitazamwa kama...
Cheki Hamis anavyowakimbiza hadi Wakenya ACHANA na yale maisha ya kuharibu kwake mipango ya wapinzani kwa ukabaji wake wa kibabe ndani ya uwanja, nyota wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Kenya Abdallah Hamis sio mtu wa mchezo mchezo...
MTU WA MPIRA: Simba hii itatia aibu mashindano ya CAF Super Cup NIMEITAZAMA Simba inavyocheza katika mechi kubwa. Nimeitazama tena na tena. Ukweli ni kwamba Simba iko ‘unga’. Timu imechoka sana. Simba hii imeshuka sana ubora kulinganisha na ile ya miaka...
MZEE WA UPUPU: Super League ni zaidi ya Ligi KWA mara ya kwanza katika historia ya hatua ya makundi na kuendelea kwa klabu ya Simba, mwiko umevunjwa nyumbani. Simba haikuwahi kufungwa kwenye uwanja wa nyumbani katika hatua ya makundi ya...
MTU WA MPIRA: Taifa Stars bila Tshabalala na Kapombe ni kichekesho kingine KUNA nyakati vitu vinatokea na kushtua sana. Ni kama hiki kilichotokea kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ majuzi. Ni kichekesho kwelikweli. Taifa Stars inakwenda kwenye...
MZEE WA UPUPU: Bodi ya Ligi na ubabe uliopindukia Hapo zamani za kale ligi yetu ilikuwa ikisimamiwa na kuendeshwa moja kwa moja na TFF (FAT). Lakini mwanzoni mwa miaka ya 2010 au nyuma yake kidogo, zikaanza harakati za kuundwa chombo huru cha...
MTU WA MPIRA: Kocha huyu Mbrazili amfundishe Kibu Denis? SIMBA imemtangaza rasmi kocha Mbrazili, Roberto Oliveira kama mkufunzi mkuu wa timu. Ni kocha mkubwa sana hapa Afrika Mashariki. Mbali na kuifikisha Vipers kwenye hatua ya makundi ya CAF, amewahi...
MTU WA MPIRA: Yanga imepiga hatua moja, bado 100 mbele NIMEONA sherehe kubwa sana kwa Yanga kufuzu hatua ya makundi. Ni sherehe kubwa mno mithili ya ndoa ya mwanaume aliyegoma kuwa hata na mchumba kwa muda mrefu. Ni sherehe kwa Wanayanga wakubwa na...