Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9130 results for Mwandishi :

  1. Argentina yatembeza viatu, England yalia

    KIPIGO cha England kutoka kwa Argentina katika nusu fainali ya Kombe la Dunia kilikuwa mchezo kilichangiwa na mabingwa hao watetezi kufanya faulo kwa wastani wa kila baada ya dakika nne kwenye...

    VIATU Pict
  2. Fahamu BMI kikotozi cha kutathimini uzito

    WAKATI ligi za soka katika nchi mbalimbali duniani zikifikia tamati mwishoni mwa wiki iliyopita, Ligi Kuu Bara iliendelea juzi kwa mechi mbili kabla ya kusimama kupisha kalenda ya Fifa kwa nchi...

  3. Hat-trick za Kombe la Dunia

    KUMEKUWAPO na mastaa wachache waliofunga mabao matatu (hat-trick), katika Kombe la Dunia tangu zilipoanzishwa fainali hizo 1930 nchini Uruguay, ikilinganishwa na umri wa miaka 106 wa mashindano...

  4. Tuchel alivyojivisha mabomu England

    WAINGEREZA hawaamini. Thomas Tuchel ameanza rasmi hesabu zake kwa kutuma ujumbe mzito kwa mastaa wa taifa hilo baada ya kufanya maamuzi magumu yaliyoitikisa wadau na mashabiki wa soka nchini humo...

  5. Kikosi bora cha msimu Ligi Kuu England 2025-26

    LIGI Kuu England (EPL) ilimalizika mwishoni mwa wiki iliyopita, lakini kwa sasa kinachoendelea ni juu ya mambo yaliyojiri wakati mchuano wa kusaka taji hilo unaendelea, huku namba za wachezaji...

    KIKOSI Pict
  6. Kompyuta yatabiri bingwa Kombe la Dunia

    TOFAUTI na fainali zilizopita za Kombe la Dunia, mwaka huu inaingia kwenye historia hata kabla ya kuanza kwa sababu ni mashindano yatakayokuwa na ukubwa ambao haujawahi kushuhudiwa.

  7. Historia yabakisha timu tano tu Kombe la Dunia 2026

    KOMBE la Dunia 2026 linakaribia kuanza huku mataifa 48 yakijiandaa kushindania taji kubwa zaidi katika soka. Lakini pamoja na ongezeko la timu, mechi na ushindani mkubwa kuliko wakati mwingine...

    HISTORIA Pict
  8. Afrika katika mtego wa fainali Kombe la Dunia 2026

    PAZIA la Kombe la Dunia 2026 limefunguliwa jana, Alhamisi katika nchi ya Mexico huku Bara la Afrika likiwa katika mtego wa kihistoria wa mashindano hayo, ikiwa na wawakilishi 10 kwa mara ya...

  9. Maeneo ya 'kula bata' Kombe la Dunia 2026

    KOMBE la Dunia 2026 litakalofanyika kwa pamoja katika nchi tatu kubwa za Amerika Kaskazini, Marekani, Canada na Mexico utakuwa mtoko wa kipekee na wa kihistoria utakaochanganya soka, utalii...

  10. Messi katika vita na rekodi ya Fontaine

    REKODI ya Just Fontaine ya kufunga mabao 13 katika Kombe la Dunia moja mwaka 1958 lililofanyika nchini Sweden ni ya kipekee. Lakini jambo la kushangaza zaidi ni kwamba hakufunga mabao hayo akiwa...

    MESSI Pict
Previous

Page 846 of 913

Next