Shauri yenu, mtajuta nyie! PENYE udhia penyeza rupia, huo ni usemi unaoeleza kwamba mahala penye matatizo ukiweka fedha, matatizo hayo yatawekwa kando na mafanikio au maendeleo yatapatikana.
Stori ya kitabu cha Hawa haipaswi kuishia hapa FILAMU huandikwa, huandaliwa, huongozwa, huchezwa na huhaririwa na wengine. Hata hivyo, mtazamaji huumba mwisho anaoupenda. Kuna mahali ikiishia, mtazamaji anaweza kufurahi au kukasirika. Furaha...
Jangwani giza, halafu mwanga tena MABINGWA wa soka nchini, Yanga wapo hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, ikiwa inakabiliwa na mtihani mgumu wa kusaka kuweka rekodi ya kucheza nusu fainali.
MPAKA HOME : Utampenda tu, soka mguuni, akili kichwani BEKI, Said Morad maarufu kama Mweda hajasajiliwa na klabu yoyote msimu huu. Yupo nyumbani tu baada ya Azam FC kushindwa kumwongezea mkataba mpya na sasa amekuwa mtu wa kupiga ‘dili’ kitaa na siku...
Mabadiliko Simba hayakwepeki HAINA ubishi wanachama wengi wa klabu ya Simba wanataka mabadiliko juu ya uendeshaji wa klabu yao wakiamini kwamba, hiyo ndio njia sahihi ya kuepuka kebehi za kuitwa wa mchangani na wamatopeni na...
Kombe la Mapinduzi sasa macho kodo MSIMU mwingine wa michuano ya Kombe la Mapinduzi umeingia ambapo kuanzia Ijumaa ya wiki hii vumbi litaanza kutimkia kwenye Uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar kuashiria kuanza kwa michuano hiyo.
Hapana! Kiganja aiangalie upya kalenda DUNIA iliingia karne ya 21 kama miaka 15 iliyopita, ikiwa imejaa mabadiliko makubwa kuanzia ya kimaendeleo, kijamii, kiuchumi na hata kwenye michezo.
Msimbazi mjipange, shughuli ni pevu HAUKWEPEKI. Ndivyo unavyoweza kusema juu ya Mkutano Mkuu wa Simba. Awali mkutano huu ulitangazwa kufanyika Julai 10, lakini uongozi wa klabu hiyo ukaahirisha na kutangaza utafanyika upya mwishoni...
Tuirudishe Simba yetu kwenye mstari WAKATI wa uongozi wa Mwenyekiti, Ismail Aden Rage, Simba tulikuwa na furaha kwa misimu miwili tu. Mwaka 2011, wakati tuliposhiriki Ligi ya Mabingwa Afrika ingawaje tulitolewa na TP Mazembe...
Mpira wa Simba, Yanga na uungwana wa fedha-3 Hata hivyo, Simba ilianza msimu kwa kushinda mechi mfululizo na kwa bahati nzuri mechi zake za kwanza zilikuwa Uwanja wa Taifa hivyo si tu ilikusanya pointi mapema lakini vilevile ilikusanya pesa...