Mabondia wa Tanzania wanavyopigwa makusudi Ulaya-1 NAKUTANA na kijana wa makamo pale Magomeni Kagera jijini Dar es Salaam. Uso wake unaonekana una bashasha huku akizirudisha nyuma rasta zake zilizotokeza nje ya kofia nyeusi aliyovaa.
Musonye: Yanga bure kabisa KATIBU Mkuu wa Cecafa, Nicholaus Musonye, amekerwa na kikosi alichokiita cha kipuuzi kilichopelekwa na Yanga kwenye michuano ya Kagame kabla hawajakipiga chini.
Ratiba ya ligi ikiwa ileile, soka linaenda kuzimu SHIRIKISHO la Soka la Tanzania (TFF) kupitia kwa msemaji wake Boniface Wambura limesema ratiba ya ligi itatoka mwezi mmoja kabla ya Agosti 20, mwaka huu.
Si kosa la Singano bali wanaomwita Messi WAKATI Ligi Kuu Bara ilipokuwa inakaribia kuanza niliulizwa na mwandishi wa habari wa magazeti ya Mwananchi na Mwanaspoti, Oliver Albert akitaka kujua timu gani zinaweza kufanya vizuri...
SPOTI XTRA: Maumivu ya elimu ya soka Tanzania >KWENYE dunia hii ya sasa ya soka la Tanzania, leo hii jifanye mdau wa soka ama mwandishi wa habari za soka, na baada ya hapo chukua nafasi yako na uende kumuuliza mwanandinga wa Tanzania...
NYUMA YA PAZIA: Wazza na maneno ya hekima ya Mignon >“ WOTE tunazaliwa mashujaa, waaminifu na walafi, lakini mwisho wa yote wengi wetu tunabakia kuwa walafi tu.”Maneno haya aliwahi kuyasema mwandishi maarufu wa kike wa Marekani...
Jeshi la Simba lilivyovamia Bunju JANA Jumapili wanachama na viongozi wa Klabu ya Simba wakiongozwa na Katibu Mkuu Ezekiel Kamwaga na Ofisa Habari, Asha Muhaji walikwenda kujionea eneo la uwanja wao lililopo Bunju B, Dar es Salaam.
Nikimkumbuka Kizota, naikumbuka Boxing Day LEO Alhamisi ni siku maalumu, inaitwa Boxing Day, siku ya kufungua zawadi, siku moja baada ya Wakristo duniani kuadhimisha siku maalumu ya kuzaliwa mkombozi wao Yesu Kristo katika Bethelehemu ya...
Kocha Simba: Sitaki masihara >Kocha huyo, ambaye anachukua mikoba iliyoachwa wazi na Abdallah Kibadeni na Jamhuri Kihwelu amefanya mahojiano ya moja kwa moja na Mwanaspoti akiwa kwao Croatia. Fuatilia mahojiano haya:
Steven Mapunda: Alia Tambwe kuwa Mfungaji Bora JINA lake halisi ni Steven Mapunda, kiungo, winga na mshambuliaji wa nafasi zote za mbele wa timu ya Majimaji ya Songea, Simba na Taifa Stars ingawa mashabiki wa soka wa miaka ya mwanzoni ya 1990...