Kazi ya Kamusoko yaacha gumzo AMEACHA gumzo. Pasi zenye macho, uwezo wa kukaba wa kiungo, Thabani Kamusoko ‘Rasta’ umemfanya beki wa kati na nahodha wa Cercle De Joachim, Mghana Nartey Isaac kudai Mzimbabwe huyo ndiye...
SABEBE: Soka haliendelei wapigaji wengi-1 UNAMKUMBUKA yule straika wa zamani wa Coastal Union aliyekuwa umbile dogo lakini mbishi sana, aliyetamba nchini miaka ya 1990-2000 kwa kutupia mabao?
HUMUD : Stori yake na Toto la Kitanga ni tamu MBISHA hodi safari hii alifunga safari mpaka jijini Tanga, nyumbani kwa kiungo mmoja fundi ambaye wengi wanamfahamu kwa jina la ‘Gaucho’. Ndio Gaucho! Anayefananishwa na nyota wa zamani wa...
USWAHILINI: Klabu ziache ulimbukeni kwa wageni, wazawa wanatosha WASWAHILI husema, akili ni nywele kila mtu ana zake. Nikiwa naangalia kituo kimoja cha runinga hapa nchini majuzi nilicheka, nikabaki midomo wazi.
NINAVYOJUA : Waandishi wasiwageuze chambo Julio, Minziro MASHABIKI wengi wa soka wamekuwa na hamu kubwa ya kumuona kocha Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wa Mwadui atakavyoweza kuifanya kazi yake ndani ya kikosi hicho baada ya miaka mingi kujipatia umaarufu...
MANICHE: Mahanjumati yamenidatisha KWA mashabiki wa soka wanaofuatilia mambo ya uwanjani, wengi wanamfahamu Awadh Juma ‘Maniche’. Ni yule kiungo mahiri wa Simba anayetokea visiwani Zanzibar. Kipaji chake cha kusakata soka na uwezo...
96 Mil kuteketea bata la Yanga MAMBO ya fedha bwana! Klabu ya Yanga inatarajiwa kutumia kiasi cha Sh96 milioni kwa ajili ya sherehe zake za ubingwa wa Ligi Kuu Bara ilioutwaa hivi karibuni.
MIAKA 3 KIFO CHA KANUMBA: Wasanii wamepoteza ajira ILIKUWA Aprili 7, 2012 pale nyota iliyong’ara katika tasnia ya filamu ilipozimika ghafla.
Ni kweli kipele kimepata mkunaji, lakini si kila wakati BINAFSI ninawakumbuka watu wawili ambao walikuwa wasemaji wakuu wa sehemu mbili tofauti.
NINACHOKIAMINI: Uteuzi wa Kizuguto TFF ni kituko DUNIA huwa haiishi vituko na hayo ndiyo mambo ambayo tumekuwa tukiyaona kila siku na bado tutaendelea kuyaona miaka mingi ijayo.