Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9121 results for Mwandishi :

  1. PRIME Kukimbiana Simba, Yanga na utamu wake

    KLABU ya Simba imetoa taarifa rasmi kwamba haitashiriki kwenye mchezo wa watani wa jadi uliopangwa kufanyika leo, Machi 8, 2025. Hii ni kwa sababu walishindwa kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea...

    KUKIMBIANA Pict
  2. Viwalo vya pesa hivi hapa, timu zinazovalishwa jezi za bei mbaya EPL

    DILI jipya la Liverpool la Pauni 300 milioni walilosaini na kampuni ya adidas kwa ajili ya kutengeneza jezi zao linatajwa kuwa moja ya dili tamu kabisa lililowahi kutokea kwenye Ligi Kuu England.

    VIWALO Pict
  3. Fahamu haya Kombe la dunia la klabu linavyonukia kuanza

    MWAKA huu historia mpya inaandikwa katika ulimwengu wa soka kwa kufanyika michuano ya Kombe la Dunia kwa upande wa klabu ambayo itakuwa kwa mfumo mpya ikihusisha jumla ya timu 32 kutoka mabara...

    FIFA Pict
  4. Hizi hapa dabi hamsini EPL 2025/26

    LONDON, ENGLAND: MKEKA wa ratiba ya Ligi Kuu England umeshawekwa hadharani, ambapo sasa mikikimikiki hiyo itaanza rasmi, Ijumaa ya Agosti 15, wakati mabingwa watetezi Liverpool watakaporusha kete...

    DABI Pict
  5. PRIME Fei Toto, Yanga kimeeleweka

    KUNA furaha inaendelea Jangwani yalipo Makao Makuu ya Klabu ya Yanga, hiyo ni baada ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa mara ya nne mfululizo na ya 31 kihistoria. Wakati furaha hiyo...

    FEI Pict
  6. PRIME Yaliyomo ndani ya begi la matibabu la daktari wa uwanjani

    KWENYE michezo, majeraha ni suala linaloweza kutokea muda wowote ule. Iwe kwenye soka, riadha, kikapu au mchezo mwingine wa aina yoyote ile unaohusisha purukushani, daktari ni lazima awepo na...

  7. Zimevuja... Jezi zitakazotumika EPL msimu ujao

    WAKATI maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu England yakiendelea baadhi ya timu tayari zimeshatambulisha jezi mpya huku nyingine zikivuja

    JEZI Pict
  8. Motisha kwa wachezaji husaidia saikolojia ya mafanikio ya klabu

    USIKU wa Jumamosi iliyopita, PSG ya Ufaransa ilitwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya baada kuifunga Inter Milan ya Italia kipigo cha aibu cha mabao 5-1 jijini Munich, Ujerumani.

  9. Wakongwe waliotisha klabu bingwa ya Dunia

    SIKU zinazidi kukatika kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu linalotarajiwa kupigwa huko Marekani, Juni 15 mwaka huu.

  10. Dili za mastaa zilizovunjika dakika za mwisho kimaajabu

    MANCHESTER United imegoma kuingia kwenye mtego wa Brentford wa kupandisha bei ya mchezaji Bryan Mbeumo kila wanapokaribia kufikia makubaliano, jambo linaloibua wasiwasi wa dili hilo kuvunjika.

    DILI Pict
Previous

Page 821 of 913

Next