Nenda Dhaira, mwambie Mafisango siyo freshi YULE kipa mrefu wa Uganda aliyeidakia Simba ikatoka sare mabao 3-3 na Yanga pale Taifa msimu wa 2013 ametangulia mbele za haki. Hii mechi ilichezwa siku chache kabla ya Jamal Malinzi hajapewa...
Loh Azam! Wamekufa namna hii AZAM imeshindwa kuweka rekodi. Imekwama kuvuka raundi ya pili ili iingie katika hatua ya mwisho ya 16 Bora (play-off) ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuchapwa mabao 3-0 na...
Kumwadhibu zaidi Zouma ni mbaya kiafya WIKI iliyopita habari kubwa katika Ligi Kuu England (EPL), ilimhusu beki wa kati wa klabu ya West Ham, Kurt Zouma ambaye video iliyosambaa mitandaoni ilimwonyesha akimpiga teke paka wake na...
Marioo kutoka kwa Mama Ntilie hadi studio MIONGONI mwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya walioliteka anga la Bongofleva huyu hapa ni Marioo.
HUMUD : Stori yake na Toto la Kitanga ni tamu MBISHA hodi safari hii alifunga safari mpaka jijini Tanga, nyumbani kwa kiungo mmoja fundi ambaye wengi wanamfahamu kwa jina la ‘Gaucho’. Ndio Gaucho! Anayefananishwa na nyota wa zamani wa...
Manchester United ilivyochomoa dili la Neymar kuhofia matanuzi yake IMEBAINIKA kwamba Manchester United walikuwa tayari kuitingisha dunia katika dirisha kubwa lililopita la majira ya joto kwa kutoa kiasi kikubwa cha pesa kumchukua staa wa kimataifa wa Brazil...
SEKILOJO: Nini Samatta! Utajiri wa soka ulivyonipiga chenga Rais wa Dinamo na watu wake hawakutaka Sekilojo arudi Tanzania na badala yake ajiunge moja kwa moja na timu yao. Yanga waligoma.
Madadi atoboa Simba ilivyokwepa hila za Yanga kijanja Zanzibar Hatimaye Madadi alisusia kuendedelea kuisimamia Simba katika mchezo ambao ulikuwa upigwe usiku wa siku hiyo na kutaka kuondoka hadi pale alipozuiwa kwenye geti la Hoteli ya Bwawani ili arudi.
Sasa tuwatengeneze kina Kagere wetu kuanzia chini MAMA wa Rackeem Shango kutoka jijini Tanga anasema mtoto wake anapenda sana mpira, lakini kama mzazi hakuwa anajua kama mwanae ni shabiki lialia wa Simba mpaka alipomuona analia siku ile Simba...
Luiza Mbutu ni Twanga Pepete, Twanga ni Luiza Mbutu Sifa kubwa ya Luiza Mbutu ni ile ya kutokuhama kwenda bendi nyingine kama wafanyavyo wengine. Tangu alipoingia Twanga Pepeta, mwaka 1998 akitokea Magoma Moto Sound, hajawahi kuhama hata mara moja.