Mkenya anatua, Manula anatoka Simba LICHA ya kwamba wanafanya siri kubwa, lakini kuna kila dalili Simba watapokea ofa ya Mamelody Sundowns kwa kipa wao, Aishi Manula. Hilo litatokea muda wowote kuanzia sasa na Mwanaspoti...
Kocha mpya wa Yanga atua Nabi amekuja kurithi mikoba ya ya kocha Cedric Kaze ambaye alitimuliwa baada ya kutokuwa na matokeo mazuri.
Kocha Mtunisia atua Yanga, aanza hivi KAMA Mwanaspoti lilivyokufichulia mara ya kwanza jana ni kwamba Mtunisia Nasreddine Nabi ndiye kocha mpya wa Yanga na atatua nchini leo saa 7:30 mchana.
Mbao, Alliance zashuka daraja Timu nne zinazoshika mkia katika kila kundi la Ligi Daraja la Kwanza, zinashuka daraja kwenda Ligi Daraja la Pili
Mfaransa amchenjia Mwambusi YANGA imerudi upya mezani kuanza upya mchakato wa Kocha Mkuu Mpya baada ya kuzinguana na Mfaransa Sebastian Migne na sasa wakati wowote kuanzia leo watamshusha mwingine mpya anayekuja na jeshi...
HESABU 4 ZAIBEBA SIMBA SIMBA imetinga kibabe hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kuongoza kundi A la mashindano hayo na inapewa nafasi kubwa ya kutinga nusu fainali ingawa haitajwi...
Ushirika Moshi iliupiga sana mwingi balaa! KWA sasa mashabiki wa Simba wamekuwa wakipagawa na soka tamu linalopigwa na kina Luis Miquissone, Clatous Chama na Larry Bwalya, lakini asikuambie mtu kuna timu ilikuwa balaa enzi hizo, iliitwa...
Luis Figo na rekodi yake Bab’kubwa Mara nyingi mashabiki wa kandanda na vyombo vya habari vya Ureno huzungumzia yatima au kiumbe ambaye mchango wake katika mchezo huu ni mkubwa, lakini hautambuliki kama inavyostahiki.
Fraga anarudi mwanangu KIUNGO Gerson Fraga amewapa habari njema mashabiki wa Simba kuwa amepona majeraha yake ya muda mrefu na muda sio mrefu atarejea uwanjani na anatamani kurudi ndani ya timu hiyo.
Zuchu: Mwaka mmoja tu kaweka rekodi na kibao na kazivunja mwenyewe Msanii wa Bongofleva, Zuchu ametimiza mwaka mmoja tangu atambulishwe rasmi kujiunga na lebo ya WCB. Usiku wa Aprili 8, 2020 lebo hiyo ilitangaza kumsaini mwimbaji huyo ambaye ni mtoto wa Malkia...