Nyoshi: Nitafia dansi NDANI ya gemu ya muziki wa dansi kwa zaidi ya miaka 30, staa wa muziki huo Nyoshi El Saadat anaendelea kubamba na ametamba kuwa atafia kwenye kuupambania muziki huo. Licha ya kushiriki kufanya...
Ligi ya ng'ombe Dar kutoa elimu ya uzazi na mpango Shirika lisilo la Kiserikali la CAFLO limeanzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa vijana wenye miaka 14 hadi 25 waliopo katika kata tano za jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kuwapatia elimu na...
Picha linaanza Sasa yanga BENCHI la ufundi la Yanga pamoja na mashabiki jana walikuwa na furaha iliyoje baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya JKT Tanzania uliowarudishia mzuka wa mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara.
Wachezaji Simba kufanyiwa kufuru, maajabu makubwa yaja Dar MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’ ameweka wazi atawekeza mamilioni ya pesa katika kikosi hicho kinachopigania heshima ya Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa...
Paul wa P Square augua Corona Hali anayopitia Paul ambaye ni pacha mdogo iliwahi kumkumba kaka yake pia mwaka jana mwezi Juni ambapo yeye, familia yake (mke na mtoto) pamoja na wafanyakazi wake wawili wa ndani waligundulika...
Yanga waendeleza ubabe kwa maafande JKT Ushindi wa mabao 2-0 walioupata Yanga mbele ya maafande wa JKT Tanzania, umeendeleza rekodi nzuri ya Yanga kila wakikutana na JKT.
Kocha mpya Mtibwa Sugar abebeshwa matumaini kubakisha Ligi Kuu Kocha Mohamed Badru ametua kiroho ngumu katika klabu ya Mtibwa Sugar kutokana na matokeo mabaya ya ligi kuu Tanzania bara lakini mchezo wake wa kwanza ameweza kuibua na ushidi wa bao 2-0 dhidi ya...
Yanga yawavuruga maafande Yanga imefanikiwa kumaliza dakika 45 za kipindi cha kwanza ikiongoza kwa mabao mawili dhidi ya maafande JKT Tanzania katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Pesa ilivyoimaliza Simba Sauzi MATOKEO ya Simba kufungwa mabao 4-0 na Kaizer Chiefs katika mechi ya mkondo wa kwanza wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika yanaweza kuwa uthibitisho tosha wa namna fedha inavyoweza...
Yanga kuwakosa hawa dhidi ya JKT Tanzania Wachezaji hao muhimu wataukosa mchezo wa kesho Jumatano, utakaochezwa uwanja wa Jamhuri Jijini hapa.