Nini kinafuata kwa Gerald Mathias Mdamu? MSHAMBULIAJI mahiri wa klabu ya Polisi Tanzania, Gerald Mathias Mdamu amevunjika miguu yake miwili baada ya kupata ajali ya gari wakati timu hiyo ikitoka mazoezini mapema wiki iliyopita.
Azam: Simba wanapigwa na ubingwa wao LICHA ya Simba kuwa mabingwa wa Ligi Kuu Bara, lakini uongozi wa Azam FC umesema wasitegemee mteremko pindi watakapokutana kwenye mechi yao ya ligi. Timu hizo zinatarajia kukutana keshokutwa...
Yanga sasa ni straika Mkongo YANGA iko katika mazungumzo na mastraika wawili hatari lakini kati ya hao mmoja wa haraka ambaye anatakiwa na kocha wao Nesreddine Nabi ni Fiston Mayele wa AS Vita ya DR Congo. Nabi anataka...
Ihefu yaivimbia Yanga kuipigania timu hiyo inayopigania kuepuka katika janga la kushuka daraja. "Tunaelekea katika mchezo mgumu ila sisi kama wachezaji na benchi la ufundi chini ya kocha wetu Katilwa...
Simba Queens yaahidi makubwa Kimataifa kuomba mechi ya kirafiki na timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania 'Twiga Stars' kwa lengo la kujiweka fiti kabla ya kuanza michuano hiyo mikubwa na tayari wamewaona na kupata taarifa za...
Waliotikisa dunia kwa 'Jerusalema', sasa waitikisa kwa mzozo wa malipo Mwimbaji Nomcebo Zikode na mtayarishaji muziki, Master KG ambao waliikamata dunia na kibao chao kikali cha "Jerusalema" sasa wanatikisa dunia kwa jambo jingine; mzozo wa malipo kutokana na kazi...
Diamond uso kwa uso na Snoop Dogg Unaweza kusema ni hasira za kukosa tuzo za ‘Bet Award’ au tamaa za mafanikio, hiyo ni baada ya msanii Diamond Platnumz kuonekana kwenye picha mbalimbali akiwa studio na msanii staa kutoka...
Straika Simba ajichomoa kambini WIKI moja kabla ya fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) dhidi ya Yanga itakayopigwa Julai 25, kambi ya Simba imeanza kumeguka baada ya mshambuliaji wao, Ibrahim Ajibu kuamua kujichomoa jumla...
Yanga yazidi kunoga... Wazungu kuongeza mamilioni HUKO Jangwani mambo yanazidi kunoga. Kwa sasa Yanga ni kama kuna vurugu flani ya fedha, kwani tangu klabu hiyo ilipotangaza kupitisha rasimu ya katiba mpya ya mabadiliko yao mfumo wa uendeshaji...
Yanga yaivuruga Simba 2021 SIMBA ndio timu bora Tanzania kwa misimu minne mfululizo sasa na msimu huu inajiaandaa kubeba taji lao la 22 tangu Ligi Kuu Bara ianzishwe mwaka 1965.