Bwalya Simba, Luis out USAJILI WAKATI dili la Luis Miquissone kujiunga na Al Ahly ya Misri likiwa limekamilika, Simba imefanya fasta kumvuta straika kutoka klabu hiyo Bingwa wa Afrika. Inaelezwa kuwa dili la Luis...
Mwamuzi ni yuleyule wa faulo BAADA ya Klabu ya Yanga kutoa malalamiko ya kutokuwa na imani na mwamuzi wa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati timu hiyo na ya Simba, kamati ya waamuzi imeibuka na...
Yanga wamkataa mwamuzi pambano la Simba Kigoma Jumapili Julai 25" "Hali hiyo imetokana na ukweli kwamba mwamuzi huyo ndiye amehusika katika kuchezesha mechi za wapinzani wetu zilizofuatana katika mashindano haya, katika...
Mwenyekiti Simba atuliza upepo Msimbazi Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amewataka mashabiki na wapenzi wa timu hiyo kuwa watulivu. Murtaza amesema katika kipindi hiki ambacho timu hiyo imekuwa ikipitia kwa uongozi wao...
Yanga yatua kibabe Kigoma KIKOSI cha timu ya Yanga kimetua salama mkoani Kigoma ikiwa ni siku tatu zimesalia kwa ajili ya mchezo wao wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba mchezo unaotarajiwa kuchezwa Julai...
Barbara: Nimesikia, ila akili ipo Kigoma BAADA ya kusambaa sauti kwenye mitandao ya kijamii ikimhusisha Msemaji wa Simba, Haji Manara akimtuhumu Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo, Barbara Gonzalez hatimaye amefunguka jambo juu ya hilo. Sauti...
Yanga wajazwa mkwanja, wawekwa kambini chini ya ulinzi YANGA walitua jijini Dar es Salaam juzi wakiwa na bashasha ya aina yake baada ya kukuta akaunti zao zimetuna. Kikosi hicho kilitokea Dodoma walikotoka suluhu na Dodoma Jiji kwenye mchezo wa...
Msuva azikwepa Simba, Yanga Mabingwa wa Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika Al Ahly (Misri), Es Tunis (Tunisia) na Wydad Casablanca (Morocco) ndio timu tatu pekee ambazo Barani Afrika ambazo hazitaanzia katika hatua ya...
Yanga: Msitufokee... kama vipi njooni Kigoma YANGA imesikia kelele za mashabiki wa Simba baada ya jana kukabidhiwa taji lao la Ligi Kuu Bara kwa msimu wa nne mfululizo, kisha wakaambiwa ‘mtufokee na kama vipi tukutane Kigoma’, huku mabosi...
Diamond noma... Mastaa Marekani wampa saluti KWA mujibu wa Diamond na menejimenti yake, kama kila kitu kitakwenda kama sawa mwisho wa mwaka huu ataachia albamu yake ya nne na huenda ikaitwa ‘Swahili Nation’.