PRIME Kwa Simba hii kuna jambo! wapo kila kona LIGI Kuu Bara imesimama hadi Septemba 11, huku zikishuhudiwa mechi 13 zikipigwa na kufungwa jumla ya mabao 22, ilihali Simba ikitawala kila kona, japo timu sita zimesaliwa na viporo vya mechi...
Bomu linalopikwa Yanga, atakufa tena mtu YANGA imeanza kusuka safu imara yenye lengo la kucheza fainali za Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao. Wanachowauliza wapinzani wao ni kwamba; “nyie hamuogopi?”
PUMZI YA MOTO: 2024 ulikuwa mwaka wa Fei Toto LIONEL Messi anatajwa mmoja wa wachezaji bora wa muda wote duniani, kama siyo mchezaji bora wa muda wote.
NIONAVYO: 2025 kutoa mwelekeo wa mpira Wetu Ni msemo wa kawaida kwamba “mpira una maajabu yake”, lakini kuna msemo wa kiufundi zaidi kwamba “mpira unavyoupiga ndivyo unavyokwenda”. Kiufundi, jambo lolote ni matokeo ya juhudi, maarifa na...
PRIME NYUMA YA PAZIA: Rashford, Man United wanavyoachana katika msitu wa Amazon NI kama simulizi ya watu wawili waliojaribu kupambana katikati ya misitu ya Amazon kule Amerika Kusini. Walikuwa pamoja kwa muda mrefu wakijaribu kujiokoa. Imefika mwisho. Kila mmoja ameamua...
NIONAVYO: Hivi ni nani kawaroga Manchester City? MPIRA una maajabu yake! Ni maneno tuliyoyazoea kuyasikia lakini sidhani kama ni maneno ambayo ni rahisi kuyaishi, hasa maajabu yanapokuwa ya matokeo hasi. Ni maneno ambayo mara nyingi tunayasikia...
Soko lao limeshuka baada ya kutua Saudia BAADHI ya masupastaa wa soka wenye majina makubwa kwenye mchezo huo ni miongoni mwa wakali 10 wanaokipiga kwenye mikikimikiki ya Saudi Pro League ambao thamani zao sokoni zimeshuka kwa kiwango...
PUMZI YA MOTO: Tuzo za soka Tanzania zimejaa ukakasi mtupu MOUSSA Camara, kipa wa Simba, alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo wa Dabi ya Mzizima kati ya Azam FC na Simba.
NIONAVYO: Kombe la Kagame, Walioitwa hawaitiki MICHUANO ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) yanaendelea jijini Dar es Salaam. Hii ni moja ya michuano ya muda mrefu ya klabu barani Afrika.
Charlie Chaplin: Anaendelea kuishi kwa uchale wake MASHAMBULIZI ya Palestina yanayofanywa na Israel yaliyoua mamia ya watu, huku zaidi ya milioni 2, wakikosa makazibaada ya nyumba zao kuharibiwa, yamewakumbusha watu wa Ulaya na Marekani...