Simba mafia sana! Yaipora beki Yanga, afichwa Dar KWA lugha za kwenye vibanda umiza ni kwamba Yanga wamebipu, Simba wakapiga kweli. Hivi karibuni kulikuwa na tetesi kwamba Yanga imenasa kiungo, Peter Banda aliyekuwa anakwenda Simba na kuwafanya...
Mshahara mmoja tu, Miquissone analipa Yanga yote MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za...
Chama afunguka ishu ya Luis, aanika mipango yake Simba KIUNGO fundi wa mpira wa Simba, Clatous Chama 'Tripple C' ameeleza hisia zake juu ya sakata linalomhusisha winga wa timu hiyo, Luis Miquisonne anayehusishwa kujiunga na Al Ahly ya Misri. Taarifa...
Chama aukubali mziki wa Azam, asema kazi ipo KIUNGO wa Simba, Clatous Chama 'Tripple C' amesema kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakuwa na ushindani kutokana na jinsi wachezaji wapya wanaosajiliwa. Chama ameyasema hayo wakati...
Manara amshukuru Aveva ALIYEKUWA msemaji wa Simba Haji Manara amemshukuru aliyekuwa Rais wa timu hiyo, Evance Aveva kutokana na mchango mkubwa aliouonyesha kwa kumpa sapoti alipoanza kuhudumu katika timu hiyo...
Manara aibua jambo dhidi ya Senzo HAJI Manara, aliyekuwa ofisa habari wa Simba amedai kuwa mtendaji mkuu wa zamani wa Simba, Senzo Mbatha aliajiriwa ili amfukuze kazi. Haji alibwaga manyanga ndani ya Simba baada ya kutokuwa na...
Nabi atia neno usajili Yanga, kufunguka Agosti 31 Kocha wa Yanga, Nasredine Nabi amesema kwa kiasi kikubwa uongozi wa timu hiyo, umeifanyia kazi ripoti yake katika mapendekezo ya usajili kama vile ambavyo alikuwa anahitaji. Nabi alisema awali...
Aucho ndani Yanga, aikacha Simba YANGA imeendelea kusuka mipango yao ya kuchukua mataji msimu ujao na sasa wako katika mazungumzo ya mwisho kabisa kumleta kiungo mwingine wa kazi, Mganda Khalid Aucho. Aucho kama atatua Yanga...
Wapya Simba, Yanga wapangiwa siku yao WATANI wa jadi Simba na Yanga wanatarajiwa kukutana kwa mara nyingine tena Septemba 25, kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo unatarajiwa kuchezwa saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamin...
Bilionea Yanga amjibu Mo Dewji NI kama vile Yanga imeamua kuijibu Simba kwa vitendo siku chache baada ya Mwenyekiti wa Bodi wa klabu hiyo ya Msimbazi, Mohammed ‘Mo’ Dewji kusema hataki timu yao ifananishwe na nyingine hukua...