Mugalu wa msimu huu mtampenda tu! BENCHI la Ufundi la timu ya Simba limekitazama kikosi kinachoendelea kujifua jijini Arusha na kuona jambo moja huu ni wakati wa kutamba kwa Chris Mugalu. Tangu kuanza kwa mazoezi ya Arusha...
Hiyo spidi ya Simba balaa KAMA Simba watatua kwenye mashindano na spidi wanayoonyesha mazoezini, kuna timu zitapata tabu. Simba imeweka kambi mjini hapa kujiweka sawa tayari kwa Simba Day, michuano ya kimataifa na Ligi...
Horseed yairudisha Azam Chamazi Mchezo wa marudiano kati ya Azam na Horseed katika kombe la Shirikisho barani Afrika uatakaopigwa Jumamosi Septemba 18 umerudishwa katika uwanja wa Azam Complex badala ya Uhuru. Akizungumza...
Simba Queens yaponzwa na jina SIMBA Queens imerejea nchini huku ikiwa imekwama kutimiza ndoto zao za kubeba ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) ili kukata tiketi ya kushiriki Klabu Bingwa Afrika, huku kocha wake...
Mastaa Simba washangilia kambini kuisoma Yanga ikipigwa BENCHI la Ufundi la timu ya Simba limekitazama kikosi kinachoendelea kujifua jijini Arusha na kuona jambo moja huu ni wakati wa kutamba kwa Chris Mugalu. Tangu kuanza kwa mazoezi ya Arusha...
Zacharia Hans Poppe aacha historia ya kusisimua Dar es Salaam. Wapenzi wengi wa mpira wa miguu, jumuiya ya wafanyabiashara na Watanzania kwa ujumla, usiku wa kuamkia jana walipatwa na huzuni kutokana na taarifa za kifo cha mfanyabiashara...
Mtanzania asaini minne kucheza Serbia Aliyekuwa nahodha wa timu ya Taifa chini ya miaka 17 katika michuano ya ya Mataifa Afrika Morice Abraham amesaini mkataba wa miaka 4 na klabu ya FK Spartak Subotica inayoshiriki Ligi Kuu ya...
Walibya waichelewesha KMKM SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeahirisha mchezo wa Kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya KMKM na Al-Itthad ya Libya uliokuwa uchezwe leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Amaan, mjini Unguja...
Msigwa, Zitto, Heche wamlilia Hans Poppe kwa amani Zakaria Hans Poppe. Godbless Lema aliyekuwa mbunge wa Arusha Mjini ameandika; "Hans Poppe alikuwa mtu aliyejiamini na alichukizwa sana na uonevu," Aliyekuwa Mbunge wa Iringa...
Azam: Poleni Simba Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC wametuma salamu za pole kwa uongozi wa Simba kufuatia kifo cha Zakaria Hans Poppe. Hans Poppe alifariki Dunia jana...