PRIME Huyu hapa kumrithi Pantev Simba Baada ya uongozi wa klabu ya Simba kufikia makubaliano ya kumfuta Meneja Dimitar Pantev, klabu hiyo inayoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, imeanza harakati za kusaka mrithi wa kubeba mikoba...
Wasaudia wajiapiza kwa Salah, Vinicius Jr MABOSI wa Ligi Kuu Saudi Arabia wamewaweka Mohamed Salah, 33, wa Liverpool na Vinicius Jr, 25 wa Real Madrid katika orodha ya mastaa inaotaka kuwasajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa...
Kocha Yanga afichua siri, akisaka rekodi Uarabuni ACHANA na matokeo ya jioni ya leo ugenini dhidi ya Stellenbosch ya Afrika Kusini katika mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kocha wa zamani wa Yanga, Sead Ramovic amefichua siri inayombeba...
Bilionea Marinakis yupo sokoni kusaka kocha mpya Forest SI jambo la kushangaza kwa wengi kwamba Nottingham Forest wanatafuta kocha mwingine.
Mo Salah ageuziwa kibao Liverpool MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohamed Salah ameibua mjadala mkali siku chache baada ya kuishambulia timu hiyo na na benchi la ufundi chini ya kocha Arne Slot.
Maeneo ya kujificha ukiwa Morocco kuenjoi Afcon 2025 MAMBO iko huku, unaweza kusema hivyo. Katika kuelekea mashindano ya Afcon 2025, Morocco imeandaa maeneo mazuri na ya kuvutia kwa ajili ya kuwahudumia wachezaji na mashabiki watakaoenda kwenye...
PRIME Kioo kitamdanganya Cristiano Ronaldo mpaka lini? CRISTIANO Ronaldo dos Santos Aveiro kila siku anasimama mbele ya kioo chake. Anajitazama. Anajipenda. Anajikubali. Hatuelewi. Anajiona ni yule yule aliyetua uwanja wa ndege wa Manchester Juni...
Mipira ya kurusha na maajabu yake WAKATI ikiwa ni siku ya tatu ya mechi za mtoano za hatua ya 32 bora ya Kombe la Dunia 2026, ulimwengu wa soka umeshuhudia mabadiliko kibao katika soka ambayo yamegeuka mjadala katika vijiwe vya...
PRIME Tuzo za BMT haziwezi kumuona Fred Minziro MOJAWAPO wa madhumuni ya kuanzishwa kwa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ni kuenzi wanamichezo wanaofanya vizuri katika maeneo yao kila mwaka ili kuchochea maendeleo ya mchezo husika.
Harden aweka rekodi ya hovyo NBA KWA miaka mingi, James Harden amekuwa akitajwa sambamba na ubora mkubwa wa kufunga, uwezo wa kutengeneza nafasi na kuwa mmoja wa mastaa waliotikisa zaidi mchezo wa mpira wa kikapu duniani.