Kompany alivyomaliza gundu la Harry Kane MAKOCHA kibao walijaribu. Na wote walishindwa. Lakini, Vincent Kompany alifanikiwa kufanya kitu kilichowashinda magwiji kama Mauricio Pochettino, Jose Mourinho, Antonio Conte na Gareth Southgate...
Man United ina mambo 11 Europa League MANCHESTER United imetanguliza mguu mmoja kwenye fainali ya Europa League baada ya kuibuka na ushindi mnono ugenini wa mabao 3-0 ilipokipiga na Athletic Bilbao katika nusu fainali ya kwanza.
Amina Vikoba ndiye ‘Siwa wa Mzee Kikala’ kwenye Kombolela NI mmoja wa wasanii mahiri wa maigizo kwa sasa katika tasnia ya Bongo Movie. Ameigiza tamthilia mbalimbali na kujikusanyia mashabiki wengi huku ile ya Kombolela inayorushwa na Chaneli ya Sinema...
Vita ya michuano ya Ulaya imekaa utamu England LIGI Kuu England 2024/25 itafika ukomo Jumapili, lakini jambo kubwa lililobaki ni vita ya kuwania nafasi ya kucheza michuano ya Ulaya msimu ujao.
Gusa vyuma hivi upigwe pesa ndefu LONDON, ENGLAND: NANI utakubali kutoa mkwanja mrefu kunasa saini yake? Kati ya Bukayo Saka na Lamine Yamal, Kylian Mbappe na Erling Haaland, wapi utakubali kuvunja benki ili kunasa huduma...
Kisa jela… Hawa jamaa na soka basi tena KATIKA ulimwengu wa michezo, wachezaji huchukuliwa kama kioo cha jamii, watu wa kuigwa na mashujaa kwa wale wanaowashabikia.
Viktor Gyokeres apeleka kicheko Emirates Stadium ARSENAL inaamini kwamba hatimaye imempata straika wa ndoto yao kwa ajili ya kuongoza safu yao ya ushambuliaji kwa miaka kadhaa mbele baada ya kumsajili mkali wa kimataifa wa Sweden, Viktor...
Taifa Stars kanyaga twen’zetu robo HAKUNA kitu kingine kinachosubiriwa na mashabiki wa soka nchini, ila kusikia na kuiona timu ya taifa, Taifa Stars ikivuka hatua ya makundi na kutinga robo fainali ya michuano ya Ubingwa wa Nchi...
PRIME Kwa hizi mbinu za Folz, mjipange! UNALIKUMBUKA balaa la Miguel Gamondi alipokuwa Yanga kwa aina ya soka lake lilivyotingisha kabla ya kuondoka? Jamaa alipotoka tu, akaingia Sead Ramovic akafanya balaa ndani ya muda mfupi na...
VIDEO: Soka lambeba beki Yanga, apandishwa cheo KMKM KIKOSI Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) kimempandisha cheo beki wa Yanga SC, Ibrahim Hamad "Ibra Bacca", kutoka Koplo hadi Sajenti. Hii ni kutokana na mchango wake mkubwa katika soka...