Hawa sio wa kuwakosa katika Tamasha la Sauti za Busara 2022 Tamasha la Sauti za Busara kwa miongo miwili iliyopita limekuwa na rekodi ya kuvutia ya kuonyesha vipaji vya baadhi ya wanamuziki wa Afrika katika tamasha hilo la kila mwaka ambalo limekuwa...
Diamond noma... Mastaa Marekani wampa saluti KWA mujibu wa Diamond na menejimenti yake, kama kila kitu kitakwenda kama sawa mwisho wa mwaka huu ataachia albamu yake ya nne na huenda ikaitwa ‘Swahili Nation’.
Muziki ulisababisha wapoteze asili za majina yao Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki mwingine.
Mechi 410 FKF-PL hat-trick nne LIGI Kuu Kenya itaingia mzunguko wa 24 mara tu baada ya mapumziko ya wiki mbili lakini takwimu za msimu huu zinaonyesha kati ya mechi 410 ambazo zimechezwa hadi sasa hat-trick nne tu ndizo...
Nkamia : Nitajenga umoja Simba, tusiwaze sana 20 Bilioni KAMPENI za wagombea uenyekiti wa Simba zinazidi kusonga mbele kwa wagombea wawili waliopitishwa kuchuana kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika Februari 7 kuendelea kutambulisha sera zao na...
Amsha amsha za dabi Betika Mtoko wa Kibingwa zilivyonoga Dar Zilikuwa siku tatu za kibabe na amsha amsha kwa mashabiki 100 wa Betika Mtoko wa Kibingwa kuanzia Ijumaa hadi jana Jumapili kwenye mchezo wa dabi wa watani wa jadi, Simba na Yanga kwenye uwanja...
Mmoja Yanga kumpisha Kisinda, aikataa ofa ya Simba DIRISHA la usajili wa wachezaji nchini limefungwa usiku wa kuamkia leo, lakini habari kubwa huenda ni sapraizi kwa mashabiki wa Yanga ile ya winga teleza, Tuisila Kisinda kuamua kurejea tena...
Nabi ateta na mastaa Yanga, aitaja Simba YANGA imeshtushwa na kasi ya Simba katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, baada ya watani wao kuendelea kugawa dozi na fasta benchi la ufundi la timu hiyo liliitisha kikao kizito na mastaa wao,...
Rekodi ilivyovunja rekodi KWA kawaida rekodi ya michezo ikiwekwa kinachosubiriwa ni kuvunjwa na kuwekwa nyingine.
Rayvanny afanya kweli MWANAMUZIKI, Rayvanny amekonga nyoyo za mashabiki juzi jioni wakati akizindua kampeni ya Vuna Deile inayofanyika kote nchini ikilenga kutoa zawadi mbalimbali kwa Watanzania kipindi hiki cha...