Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8288 results for Mwandishi Wetu :

  1. Simba yatesti mitambo ya CAF

    VINARA wa Ligi Kuu Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba jioni ya leo watatesti mitambo ya CAF, itakapovaana na Asante Kotoko ya Ghana kwenye mechi ya michuano...

  2. Onyango aomba kuondoka Simba

    UJIO wa beki wa kati kutoka Burkina Faso, Mohamed Ouattara ndani ya Simba umemfanya Mkenya Joash Onyango kupigwa benchi na Kocha Zoran Maki kiasi cha kukosa mechi mbili za awali za Ligi Kuu Bara...

  3. Saido arejea tena

    Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo ililiambia Mwanaspoti, Saido amekamilisha taratibu zote na viongozi wa timu hiyo na muda wowote kuanzia sasa atatua nchini.

  4. Akpan hajui lolote

    KIUNGO mpya wa Simba, Victor Akpan anayetajwa kutakiwa kutolewa kwa mkopo Coastal Union, amesema hajui lolote juu ya dili hilo linaloelezwa kufanywa kwa sababu ya kocha Zoran Maki kutokubali...

  5. Nilichokiona Taifa baada ya miaka 26

    NILIKUWA Dar es Salaam kwa siku kadhaa mwezi huu. Nimefaidika sana kuziona timu kongwe Afrika Mashariki za Simba na Yanga kwa mara ya kwanza baada ya kupita miaka 26 ambayo ndio mara yangu ya...

  6. Mayele ana jambo lake, Simba nao wapo

    SIMBA bado ina kidonda cha kufungwa mabao 2-1 na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 lakini kana kwamba haitoshi, mabao mawili ya mshambuliaji Fiston Mayele kwenye mechi hiyo...

  7. Wasudani wa Yanga CAF wapata kocha mpya

    MPINZANI wa Yanga kwenye hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika, Zalan FC ya Sudan ya Kusini jana imemtambulisha kocha mpya Baping Alliab.

  8. Mabosi Simba wamgeukia Mudathir

    KIUNGO wa zamani, Azam FC na Singida United, Mudathir Yahya ameingia kwenye rada za Simba ambao wapo sokoni kutafuta kiungo mpya wa ukabaji kutokana na kutolizishwa na ubora waliokuwepo sasa.

  9. Akpan mambo magumu Simba, Zoran asema hapanaa

    KIUNGO wa Simba, Victor Akpan huenda akatolewa kwa mkopo kutokana na kushindwa kumshawishi kocha, Zoran Maki ili kumpatia nafasi ya kucheza katika michezo mitatu iliyocheza timu hiyo hadi sasa.

  10. Kanali Bakari atunukiwa nishani ya michezo Russia

    Wizara ya Ulinzi ya Jeshi la Shirikisho Urusi limemtunuku nishani kwa kuimarisha ushirikiano katika Majeshi Kimataifa Kanali Joseph Bakari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nchini Urusi.

Previous

Page 744 of 829

Next