Kumbe Godliver angekuwa mjeshi aisee KWA mashabiki wa filamu za Bongo, mwanadada Godliver Gordian si mgeni kabisa kwao. Ni kwa sababu ameonekana katika filamu kibao akifanya yake.
HISIA ZANGU : Nilimsikiliza Van Dijk nikamuelewa vizuri sana! PAMBANO la soka Ligi Kuu ya Tanzania bara linamalizika. Unapata hamu ya kuwasikiliza manahodha wa pande zote mbili. Ghafla hamu yako inatoweka. Wanaongea kile kile walichoongea katika mechi...
MZEE WA UPUPU: Pele alipotoa asisti kwa Puma kuifunga bao Adidas ADIDAS na Puma ni kampuni za vifaa vya michezo kutoka Ujerumani. Hizi ni kampuni mbili zilizotoka kwenye familia moja ya Dassler ambayo ilianza biashara hii miaka ya 1920. Ndugu wawili wa...
Cunningham anavyousaka u-MVP NBA kimyakimya KADRI Detroit Pistons wanavyoendelea kufufuka kama timu makini NBA, Cade Cunningham, kwa upande mwingine amekuwa mmoja wa wachezaji bora zaidi katika Ligi ya Kikapu Marekani.
Baresi ana kibarua kizito kwa TRA Utd KUNA mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinachezwa leo Ijumaa zikihusisha timu zinazopambana kujiweka pazuri kwenye msimamo, huku KMC iliyoifuata TRA United, ikiwa katika mtego chini ya benchi jipya la...
Chelsea yamuandalia ofa Vinicius Jr CHELSEA inadaiwa kuandaa ofa nono yenye thamani ya Euro 150 milioni kwa lengo la kuishawishi Real Madrid kumuachia winga wao mahiri wa kimataifa wa Brazil, Vinicius Jr, mwenye umri wa miaka 25.
Pengo la Dorgu litakavyozibwa Man United MICHAEL Carrick amekumbana na changamoto ya kwanza kubwa kama kocha wa muda wa Manchester United baada ya kuthibitishwa kuwa Patrick Dorgu atakuwa nje ya uwanja kwa wiki 10 kutokana na jeraha la...
Mziki wa Palmer hapo Manchester United MANCHESTER United kwenye kikosi chao tayari ina mmoja wa viungo bora kabisa wa kushambulia duniani, lakini bado inataka kuongeza mwingine.
Shughuli imekamilishwa huko! Amorim atimuliwa MANCHESTER United imemfuta kazi Ruben Amorim baada ya kauli yake ya kuwakosoa mabosi.