Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9078 results for Mwandishi :

  1. Nyepesi nyepesi za Dabi... katika mechi 113 Ligi Kuu Bara

    Alianza Idd Pazi 'Father' katika mechi ya Machi 10, 1984 alipoitanguliza Simba kwa mkwaju wa penalti wa dk 20 kabla ya Abeid Mziba 'Tekero' kuchomoa dk 39 na pambano hilo kuisha kwa sare ya 1-1.

  2. NIONAVYO: Katisha miaka 58 Miura yupo Uwanjani

    LEO tukiwauliza wasomaji wetu ni wangapi walimwona Zinedine Zidane akichezea timu ya taifa ya Ufaransa na kuchukua Kombe la Dunia dhidi ya Brazil mwaka 1998, tutashangaa.

    NIONAVYO Pict
  3. PRIME Mfaransa kuamua kesi ya Yanga CAS

    UONGOZI wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) umeipa ruhusa Yanga kwenda Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kupinga uamuzi wa kuahirishwa kwa mchezo wao dhidi ya Simba uliokuwa...

  4. NIONAVYO: Miaka minne kazini, Motsepe amethibitisha ameweza

    ALIPOTANGAZA nia yake ya kuwania kiti cha urais wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), wengi walimwona kama mtu aliyekuwa anapima kina cha maji tu. Ukiondoa umiliki wake wa klabu ya Mamelodi...

  5. R.Kelly agonga mwamba, agomewa kuachiwa gerezani

    MKONGWE wa muziki wa R&B, Robert Kelly maarufu kama R.Kelly, amekataliwa ombi lake la kuachiwa kutoka gerezani siku chache baada ya mawakili wake kudai kuwa alizidishiwa dawa kutokana na...

    R KELLY Pict
  6. Radi, Joto, mvua zaleta shida Kombe la Dunia

    MICHUANO ya Kombe la Dunia kwa Klabu la Fifa inaendelea Marekani katika miji tofauti ikiwa ni hatua ya makundi. Hata hivyo, michauno hiyo ambayo imekuja katika mfumo mpya baada ya timu kuongezwa...

    HALI Pict
  7. Alexander Isak aisikilizia Liverpool kabla ya kujua Muhtasari wake

    MSHAMBULIAJI wa Newcastle na timu ya taifa ya Sweden, Alexander Isak, 25, amewaambia wawakilishi wake kuwa ataendelea kucheza Newcastle na kusaini mkataba mpya katika dirisha hili ikiwa tu...

  8. CHAN 2024: Burkina Faso, Mauritania vita nzito

    HATMA ya timu itakayoungana na Tanzania kutinga makundi ya michuano ya Ubingwa wa Nchi za Afrika (CHAN) 2024 kutoka Kundi B, inatarajiwa kujulikana leo Jumatano wakati mechi mbili tofauti...

    CHAN Pict
  9. Kagame Cup 2025 vita nyingine ya kombe inayoanza Dar

    MSIMU wa 47 ya michuano ya Kombe la Kagame unaanza rasmi leo Jumanne ikihusisha klabu 12, zitakazoumana kwenye viwanja viwili vya Meja Jenerali Isamhuyo na KMC Complex vilivyopo jijini Dar es...

    KAGAME Pict
  10. TFF mambo yote yapo Tanga

    LICHA ya ukweli usiku wa leo timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itakuwa uwanjani kukamilisha ratiba ya mechi za Kundi B ya michuano ya CHAN 2024, lakini macho na masikio ya wadau wa soka...

    TANGA Pict
Previous

Page 737 of 908

Next