Mgunda: Mapambano yanaendelea KOCHA wa Coastal Union Juma Mgunda alisema kuwa licha ya timu yake kuwa na mwendelezo mbaya wa matokeo ili mapambano yanaendelea ili kuweza kuinasua timu hiyo kwenye janga la kushuka...
Ligi ya ng'ombe Dar kutoa elimu ya uzazi na mpango Shirika lisilo la Kiserikali la CAFLO limeanzisha mashindano ya mpira wa miguu kwa vijana wenye miaka 14 hadi 25 waliopo katika kata tano za jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kuwapatia elimu na...
Pacome, Mudathir waweka rekodi Yanga YANGA imebakiza mabao 45 tu katika mechi 25 zilizobaki Ligi Kuu ili ifikie rekodi yake ya ufungaji ya msimu uliopita, lakini tayari imejiwekea rekodi mpya ya kufunga idadi kubwa zaidi ya mabao...
DAH! Morrison ana majanga huyo Morrison kuikosa mechi dhidi ya Simba ni mwendelezo wa nyota huyo kukaa nje katika baadhi ya mechi kubwa hasa za Simba na Yanga pamoja na zile za kimataifa kutokana na kutumikia adhabu...
HESABU 4 ZAIBEBA SIMBA SIMBA imetinga kibabe hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kuongoza kundi A la mashindano hayo na inapewa nafasi kubwa ya kutinga nusu fainali ingawa haitajwi...
Gomes: Naanza na Dodoma Jiji KOCHA wa Dodoma Jiji, Mbwana Makata ameongeza dozi akijiandaa kupambana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopangwa kufanyika kesho Uwanja wa Jamhuri, Dodoma lakini mwenzie, Didier Gomes...
Borega Sisters watwaa vikombe mashindano ya kuogelea ya FK Blue Marlins Dar es Salaam. Waogeleaji wa familia moja Leyna Borega (8) na Lorita Borega (10) wameibuka katika nafasi ya kwanza katika mashindano ya FK Blue Marlins na kushinda vikombe. Wakati Leyna...
Morrison Simba kuchomokea hapa KANUNI za Ligi Kuu Bara msimu huu zinamuweka katika uwezekano mkubwa winga wa Simba, Bernard Morrison kukwepa adhabu kutokana na kosa la utovu wa nidhamu licha ya Shirikisho la Soka Tanzania...
Yanga yaivuruga Simba 2021 SIMBA ndio timu bora Tanzania kwa misimu minne mfululizo sasa na msimu huu inajiaandaa kubeba taji lao la 22 tangu Ligi Kuu Bara ianzishwe mwaka 1965.
Simba yapewa mtego wa Orlando SIKU ya sikukuu ya Pasaka Aprili 17, Simba watakuwa Dar es Salaam wakikiwasha na Orlando Pirates kwenye mechi ya kwanza ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho lakini wakaonyeshwa mitego...