Nabi: Tulieni mpate raha YANGA leo itashuka uwanjani katika mchezo wa Kundi D la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji wao, Real Bamako jijini Bamako nchini Mali, huku kocha wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akiwataka...
Ufaransa, Ujerumani zilikuwa na mfumo kama wa FFP -3 KWENYE toleo lililopita tuliona namna Ligi Kuu England, Serie A na La Liga timu zao zilivyoathiriwa kwa madeni makubwa katika kujiendeesha baada ya kufanya matumizi makubwa kuliko mapato yao na...
Watakaoshiriki tamasha la pasaka waanza kutajwa Dar es Salaam. Maandalizi ya tamasha la Pasaka yamepamba moto na waimbaji watakaoshiriki wameanza kutajwa wakiwemo wa ndani na nje ya nchi. Majina ya waimbaji hao yameanikwa leo Ijumaa Februari...
Waoga mamilioni M-Bet, yaitakia kheri Simba Washindi hao ni Mesharam Bakunda na Abdallah Segatwa ambao walizawadiwa fedha zao jana Alhamisi, Februari 23, 2023 katika halfa fupi iliyofanyika makao makuu ya kampuni hiyo jijini Dar es Salaam.
Financial Fair Play ilivyookoa klabu za England, Hispania - 2 JANA tuliona dhamira kuu ya uanzishwaji wa Financial Fair Play kwenye soka la Ulaya ambapo lengo kuu lilikuwa kuweka udhibiti kwenye matumizi ya pesa ili kuzilinda klabu zisifanye matumaini...
DRFA yakabidhi kitita Yanga Chama cha Mpira wa Miguu Dar es Salaam (DRFA) leo kimekabidhi kiasi cha Sh3 milioni kwa Yanga ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotoa mwishoni mwa wiki ya kutoa Sh1 milioni kwa kila bao ambalo...
Financial Fair Play na umuhimu wake kwenye soka - 1 UEFA Financial Fair Play. Kifupi chake ni (FFP). Ni kanuni ya udhibiti iliyotungwa na Umoja wa Mashirikisho ya Vyama vya Soka Ulaya – UEFA ili kuzidhibiti klabu za kulipwa za mchezo wa soka kuwa...
Mambo sita yaliyoiua Simba baada ya hapo kushinda ugenini na Vipers ya Uganda ila matokeo yakiwa tofauti na hivyo hali itakuwa siyo shwari kwa upande wao. Ukiachana na hilo, Mwanaspoti kupitia mwandishi maalumu ndani...
Simba yamvutia waya kocha msomi, mechi ya Raja yatajwa TAYARI mabosi wa Simba wamemuita aliyewahi kuwa kocha msaidizi wa timu hiyo, Suleimani Matola mezani kwa ajili ya mazungumzo, huku kukiwa na maswali mengi kuhusu kinachokwenda kujadiliwa. Simba...
Betika yahamasisha utunzaji mazingira kupitia Ligi ya Sodo Timu nane zinachuana kusaka bingwa wa mashindano maalumu ya kuhamasisha utunzaji wa mazingira yaliyoandaliwa na Kampuni ya michezo ya kubashiri Tanzania ya Betika. Ligi hiyo iliyopewa jina la...