Nondo 7 za Stars kuiondosha Morocco BAADA ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, mjadala umeibuka kuhusu kikosi hicho kinakwenda kuikabili vipi Morocco...
Azizi KI kiwango cha maokoto mechi chache zaidi. Wakati mwingine mashabiki wa timu hiyo walijikuta wakigawanyika kwa kushindwa kuelewa fomu yake ni ipi FEI TOTO AMRUDISHA Mwandishi wa makala haya aliwahi kufanya...
NIONAVYO: Taifa Stars na Afcon, kuna somo kutoka Gambia kusawazisha magoli mawili dhidi ya Congo iliyokuwa inaongoza 2-0, hivyo kupata pointi moja iliyohitajika. Gambia maarufu kama The Scorpions kama wanavyojulikana, wamefuzu mara mbili tu lakini ni...
NYUMA YA PAZIA: Mungu mbariki Messi, dakika 90 za mwisho MWANDISHI mrembo wa kituo cha Televisheni cha Publica cha Argentina, Sofia Martinez alikuwa amesimama hatua moja kutoka kwa Lionel Messi. Peke yao. Machozi yalikuwa yanakaribia kumtoka. Na...
NIONAVYO: Simba Yanga, kuteleza si kuanguka michezo yao ijayo na hata kufika hatua ya juu zaidi. Dalili chanya zinaonekana. Kila la kheri Simba SC, Kila la Kheri Young Africans SC, Kila la kheri Tanzania Mwandishi wa makala hii ni...
NIONAVYO: Pamoja Bid safi, sasa tutembee pamoja 2027 haya. Juhudi za maombi zilianza chini ya Rais Kikwete, Afcon U 17 ikafanyika Dar es Salaam chini ya Hayati John Magufuli na hatimaye Pamoja Bid ikafanyika na kufanikiwa chini ya Rais Samia Suluhu.
JICHO LA MWEWE: Upande mwingine wa Fei na Dube unaochanganya zaidi KUNA yule mwandishi aliyewahi kutuambia ‘Pesa zako zinanuka’. Ni kweli ukisoma kitabu chake unagundua kwamba zipo pesa ambazo zinanuka. Lakini kuna mwingine aliyewahi kuandika kitabu...
Exclusive... HADHARA Fundi wa danadana anayeteseka kwa maradhi UMAARUFU sio utajiri na hakuna uhusiano kabisa, ukitaka kuamini hilo aliyekua Rais wa Uruguay, Jose Mujica alijulikana kama rais maskini zaidi duniani, licha ya kushika nyadhifa za juu za uongozi.
Azam FC tatizo lipo hapa tu! MWANDISHI WETU ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Azam FC, Aristica Cioaba tayari atakuwa ameanza maisha mapya ya nje ya ajira akiwa kwao Romania hii inatokana na wiki moja iliyopita kutimulia katika...
DUNIANI KUNA SOKA, TANZANIA KUNA SIMBA NA YANGA WAKATI fulani, mwandishi wa habari Ezekiel Kamwaga, amepata kusimulia kisa fulani ambacho alikiongoza kipindi alipokuwa Katibu Mkuu wa Simba. Alisema, alipokuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, timu...