Robertinho, Nabi ni ufundi na mbinu MAKOCHA Nasreddine Nabi na Roberto Oliviera 'Robertinho' wameshikilia funguo za ushindi kwa timu zao katika mechi itakayozikutanisha leo Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11:00...
Mashabiki Mtoko wa Kibingwa walivyoisubiri dabi kivingine Betika kuleta mabingwa wa promosheni ya Mtoko wa Kibingwa kushuhudia dabi hiyo laivu huku kila msimu idadi ikiongezeka na safari hii ni mara mbili ya ile ya awali. "Tukisema Mtoko wa...
Job yuko sana Yanga 2025 Hatimaye Yanga imemaliza utata wa hatma ya beki wao Dickson Job baada ya kumsainisha mkataba mpya wa miaka miwili.
Job asaini miwili Yanga HUENDA taarifa hii isiwe njema kwa timu zilizokuwa zikimpigia hesabu Dickson Job, kwani beki huyo wa kati wa Yanga amekata mzizi wa fitina kwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili utakaomuweka...
Ally Champion ashinda uongozi ATPBRO BONDIA mkongwe, Ally Bakari Champion amechaguliwa kuwa mjumbe wa Chama cha waamuzi wa Ngumi za Kulipwa Tanzania (ATPBRO) katika uchaguzi mdogo uliofanyika leo Aprili 15, jijini Dar es...
Mastaa Yanga wajazwa noti WAKATI Yanga ikiwa kambini ikianza maandalizi ya kuwavaa watani wao Simba, beki Mkongoman Djuma Shaban ametuma salam kwa wekundu hao akisema gari lao la ushindi kwa sasa imekata breki, huku...
RIPOTI MAALUM: Tatizo kuwafungia waamuzi hakujatoa majibu anapamudu zaidi kama ilivyo kwa mwandishi wa habari mwingine anaandika habari za michezo mwingine habari za kijamii. “Kozi ni moja lakini unapomaliza mtu anaamua kujikita sehemu moja ndio...
Maswali magumu barua ya Fei Toto SAKATA la kiungo wa kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum ‘Fei Toto’ dhidi ya Yanga limeingia sura nyingine baada ya upande wa mchezaji huyo kuwasilisha barua ya kuvunja mkataba, huku mabosi wa...
Nabi aishika pabaya Simba YANGA juzi ilikuwa uwanja wa nyumbani ikipambana na Kagera Sugar ikiendelea kupunguza hatua ya kufuata taji lao la pili la ubingwa mfululizo na baada ya kumaliza mechi hiyo, akili ya kocha wao...
Mjadala wa Simba, Yanga unafia hapa MECHI ya Simba na Yanga ndiyo kubwa ambayo inasubiriwa kwa siku chache zijazo kabla timu hizo hazijacheza michuano ya kimataifa siku chache mbele. Mechi hii ni ya pili kwenye Ligi Kuu Bara msimu...