Liverpool yaamua kujisubirisha kwa Marc Guehi LIVERPOOL imeamua kusubiri hadi wakati wa dirisha la usajili la majira ya kiangazi mwakani kabla ya kuanza tena mazungumzo ya kumsajili beki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc...
Gallagher atajwa mbioni kutua Old Trafford BENCHI la ufundi la Manchester United limeorodhesha majina ya viungo saba wanaowafuatilia kwa ajili ya kuimarisha safu ya kiungo na staa wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya England, Conor...
Hersi afafanua ukweli ulivyo madai ya kuishambulia Simba BAADHI ya mashabiki wa Simba wanalia juu ya uwasilishaji uliofanywa na Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Chama cha Klabu za Soka Afrika (ACA), Injinia Hersi Said kwenye kongamano la soka...
Jipindue uchekwe! EPL lazima kieleweke MSIMAMO wa Ligi Kuu England unavyosoma, Arsenal ipo kileleni kwa tofauti ya pointi mbili dhidi ya Manchester City.
Manchester City yajitosa dili la Marc Guehi MANCHESTER City ni miongoni mwa tinu zinazohitaji saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England Marc Guehi mwenye umri wa miaka 25.
Majembe Ligi Kuu Bara ndani ya AFCON 2025 LIGI Kuu Bara kwa sasa imesimama kupisha Fainali za Mataifa Afrika (AFCON 2025) zitakazoanza Jumapili wiki hii nchini Morocco.
Roma, Man United hakijaeleweka kwa Joshua Zirkzee MANCHESTER United na AS Roma ziko mbali sana kufikia makubaliano ya dili la mshambuliaji raia wa Uholanzi, Joshua Zirkzee, mwenye umri wa miaka 24.
Roma, Man United hakijaeleweka kwa Joshua Zirkzee MANCHESTER United na AS Roma ziko mbali sana kufikia makubaliano ya dili la mshambuliaji raia wa Uholanzi, Joshua Zirkzee, mwenye umri wa miaka 24.
Peterson ni Kobe Bryant mpya NBA? KATIKA miaka ya hivi karibuni, mpira wa kikapu wa Marekani umeendelea kuzalisha vipaji vipya vinavyovutia macho ya wengi, lakini wachache wamepata uzito kama ilivyo kwa Darryn Peterson, mwenye...
Majanga! Majeruhi sita Arsenal wazua hofu BEKI wa Arsenal, Gabriel Magalhaes ameungana na nyota wengine watano wa kikosi hicho waliotemwa na timu zao za taifa kwa kuhofiwa kuwa majeruhi.