Ngassa: Pale Simba wamepigwa WACHEZAJI wengi siku hizi ambao wamestaafu soka ama wanaelekea kustaafu huonekana wakisomea ukocha lakini hii imekuwa tofauti kidogo kwa winga wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Mrisho Khalfan...
Nini Diarra? Hawa walitisha kwa kudaka MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanatembea kifua mbele. Sio kwa sababu chama lao limetinga nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing'oa Rivers United ya Nigeria, la! Ila...
Kwa Mkapa patanoga KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi kamati maalum yakukagua maandalizi ya michuano ya Super 8 ya CAF, itakayozihusisha klabu kubwa zinazofanya vizuri Afrika na zenye mashabiku wengi, ikiwemo...
MAKALA MAALUM ANGUKO LA TP MAZEMBE: Baada ya kuokoteza wachezaji, Katumbi ashindwa kuiokoa-5 KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi rais wa TP Mazembe, Moise Katumbi alivyoikimnia nchi baada ya kuonesha nia ya kugombea urais wa DRC mwaka 2016. Laurent Kabila alipofariki dunia na nafasi...
Wanalizombe kimewakuta huko Majimaji iliwahi kushiriki ligi kuu na sasa imeshushwa daraja hadi ngazi ya Mkoa na itakosekana uwanjani kwa misimu miwili kutokana na adhabu hiyo.
MAKALA MAALUM ANGUKO LA TP MAZEMBE: Mihela yamwagwa kwa mastaa -4 Katika toleo lililopita tuliona jinsi hali ilivyoanza kubadilika ndani ya klabu ya TP Mazembe lakini ghafla siasa za nchi zikaharibu mambo. Katika toleo hili tutaona kilichofuata baada ya pale.
Simba na Warundi ni damudamu! NI ukweli usiopingika, soka la Tanzania limekuwa kivutio kwa nyota wa kigeni tangu miaka ya 1970 hadi leo, ikishuhudiwa mastaa mbalimbali kutoka mataifa tofauti wakimiminika kuja kucheza...
Kwa Mkapa kisasa zaidi, kuanza kuboresha haya... YANGA ipo kwenye hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa imefanya vizuri zaidi kwenye michuano ya Afrika kuliko kipindi kingine chote ambacho imeshiriki michuano hiyo. Hata...
Yanga yajifungia CCM Liti Yanga imefanya mazoezi yake kwenye Uwanja wa CCM Liti mkoani Singida huku makomandoo wake wakizuia waandishi na hata mashabiki kuhudhuria mazoezi hayo. Yanga ambayo kesho Mei 4 itacheza mchezo...
Yanga ni muda wao sasa Kimataifa BAADA ya danadana nyingi hatimaye sasa mambo yanaelekea kufika mwisho baada ya wababe waliotinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kuwa hadharani. Katika...