PRIME PUMZI YA MOTO: Tuhuma za Tabora United zitaachwa zipite? KWA mara nyingine tena mpira wa Tanzania umekumbwa na matukio yenye kuashiria ushawishi wa rushwa na upangaji matokeo.
Kwa nini Europa League muhimu Man United, Spurs MANCHESTER United na Tottenham Hotspur zimeamua kuweka kando vita ya mapambano kwenye Ligi Kuu England na kuhamisha nguvu kwenye mchakamchaka wa kulisaka taji la Europa League.
PRIME Rekodi yamsubiri Mzize Ufaransa KIWANGO bora kinachoonyeshwa na mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize kimezivutia timu mbalimbali kusaka saini yake, huku ikielezwa nyota huyo anayeongoza kwa mabao ya Ligi Kuu Bara akiwa na 13...
MJIPANGE! Andrea Berta atakavyotumia Pauni 300 milioni kuleta majembe Arsenal ANDREA Berta ameripotiwa kuahidiwa kwamba atakabidhiwa Pauni 300 milioni kwa ajili ya kuzitumia kwenye usajili katika dirisha lake la kwanza la majira ya kiangazi akiwa mkurugenzi wa michezo mpya...
LEBRON NA BRONNY: Baba, mwana walioanza na kupoteza pamoja NBA MSIMU wa kwanza wa nyota mpya wa Los Angeles Lakers, Bronny James katika Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) ulimalizika wiki hii kwa kichapo cha pointi 103-94 kwenye mechi ya mchujo kutoka kwa...
PRIME Mzize akomaa Ligi Kuu, vita mpya yaibuka MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize ameiva. Angalia katika orodha ya wafungaji mabao wa Ligi Kuu Bara ndio utaelewa.
Lamine Yamal anavyofukuzia rekodi ya kipekee Ballon d’Or FUNDI wa boli na kinda wa Barcelona, Lamine Yamal amekuwa akitajwa kama mmoja wa wachezaji wanaopewa nafasi kubwa ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or mwaka huu wa 2025.
Luis Diaz, Bayern Munich haijaisha hadi iishe WINGA wa kimataifa wa Colombia Luis Diaz, 28, bado ana dhamira ya kuondoka Liverpool dirisha hili la usajili la majira ya kiangazi na Bayern Munich ni miongoni mwa timu anazoweza kutua.
Hapa Amorim atawaua nyie MANCHESTER United imetua Marekani kwa ajili ya mazoezi ya pre-season huku kikosi hicho kikiwa kimefanyiwa maboresho nusu, hakijakamilika kwa asilimia 100.
Emiliano bado awachanganya vigogo Manchester United MANCHESTER United bado inafanya majadiliano ya ndani kwa ajili ha kumsajili kipa wa Aston Villa na timu ya taifa ya Argentina, Emiliano Martinez dirisha hili, lakini wanarudishwa nyuma na ada ya...