Luis Figo na rekodi yake Bab’kubwa Mara nyingi mashabiki wa kandanda na vyombo vya habari vya Ureno huzungumzia yatima au kiumbe ambaye mchango wake katika mchezo huu ni mkubwa, lakini hautambuliki kama inavyostahiki.
Fei kama anazingua vile! KIUNGO Feisal Salum 'Fei Toto' amewashtua wadau wa soka nchini baada ya kutumia akaunti zake za mitandao ya kijamii kutembeza bakuli la kusaka fedha za kumpeleka Mahakama ya Usuluhishi la...
Yanga yaanza na sare Mapinduzi Cup, Kaze ashusha lawama kwa waamuzi Mechi ya kwanza kundi A ya Mapinduzi Cup 2020 yanayoendelea kufanyika Zanzibar imemalizika kwa Yanga kulazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Jamhuri. Mechi hiyo iliyokuwa na burudani za kutosha baada...
PRIME Gamondi ajionea bato la mabeki Yanga KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ameanzisha vita kwenye eneo la ulinzi wa kati wa timu yake na sasa kuna uwezekano wa mastaa wawili wa kiwango cha timu ya Taifa kukaa nje kila mechi. Yanga msimu...
Mbeya City yaingia kimataifa Mara baada ya pazia la Ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2022-23 (TPL) pamoja na Ligi kuu ya Uingereza (EPL) kufunguliwa siku za hivi karibuni, Klabu ya Mbeya City, Chelsea, Aston Villa...
Ishu ya Saido na Makambo Yanga iko hivi MABAO mawili ya Saido Ntibazonkiza katika mechi mbili zilizopita za Ligi Kuu Bara, huenda yakamnyima fursa straika Heritier Makambo kuwemo kwenye kikosi cha Yanga kitakachoivaa Simba Jumamosi...
Nabi akwama Dar, kina Mayele waapa KESHO kabla ya Mashetani Wekundu, Man United haijashuka Uwanja wa St James Park kuvaana na Newcastle United, mashabiki wa Yanga tayari watakuwa na matokeo ya pambano la timu hiyo dhidi ya TP...
Kwa Mkapa patanoga KATIKA toleo lililopita tuliona jinsi kamati maalum yakukagua maandalizi ya michuano ya Super 8 ya CAF, itakayozihusisha klabu kubwa zinazofanya vizuri Afrika na zenye mashabiku wengi, ikiwemo...
Simba Queens waisaka fainali ya Cecafa WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye michuano ya Klabu Bingwa kwa soka la Wanawake kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Women), Simba Queens leo inarudi tena uwanjani kuvaana na Vihiga Queens...
Ishu ya refa Arajiga SIMBA ina kismati na mwamuzi, Ahmed Arajiga katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam FC (ASFC), ukitofautisha na Yanga. Arajiga ndiye hakimu wa dabi ya leo Jumamosi ambayo ni mtihani...