Tanzania kuandaa mashindano ya urembo ya Miss East Africa 2021
Dar es Salaam. Mashindano ya kumsaka mrembo wa Afrika Mashariki, Miss East Africa 2021 yatafanyika jijini Dar es salaam mwezi wa Novemba mwaka huu.
Makamu wa Rais wa mashindano hayo, Jolly Mutesi...