Man City, Liverpool vita kali kumuwania Rodrygo WINGA wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Rodrygo Goes, 24, ameonyesha nia ya kuondoka katika dirisha hili kutokana na kutoridhishwa na nafasi yake ndani ya kikosi hicho.
Rashford afikiria kurudi Man United MSHAMBULIAJI wa Manchester United ambaye na timu ya taifa ya England, ambaye kwa sasa anacheza kwa mkopo Barcelona, Marcus Rashford anadaiwa kufikiria kurudi nyumbani mwisho wa msimu huu baada ya...
Arsenal wasiwasi wakiogopa historia MASHABIKI wa Arsenal waliondoka Emirates, Jumapili jioni wakiwa na hisia mbaya kwamba tayari wameshawahi kuona filamu hii.
Vigogo EPL waiteka UEFA HATUA ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imemalizika na timu tano za Ligi Kuu England zimefuzu moja kwa moja hatua ya mtoano baada ya kumaliza nafasi za juu.
Vigogo Chelsea wapania kumng’oa Vinicius Madrid CHELSEA imeingia katika vita ya kuiwania saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazl ili kumsajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Vigogo kibao Serie A wamtaka Harry Maguire INTER Milan, Napoli na Fiorentina zimeingia vitani kuwania saini ya beki wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Harry Maguire, 32, katika dirisha hili la usajili.
Azam FC, Coastal Union kazi ipo Chamazi UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena usiku wa leo kwa kupigwa mechi moja ya kiporo kati ya wanafainali wa Kombe la Mapinduzi 2026, Azam FC na Wagosi wa Kaya, Coastal Union.
AC Milan yamaliza kwa Mateta, Glasner achelewesha MSHAMBULIAJI wa Crystal Palace, Jean-Phillipe Mateta amefanya makubaliano binafsi na AC Milan juu ya kujiunga nao kwa mkataba utakaomfanya aitumikie klabu hiyo hadi mwaka 2030.
Simba yaweka rekodi mpya ya vipigo CAF WANASIMBA wanataka kuiona timu yao inafuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kama kawaida yake ilivyofanya misimu saba iliyopita kuanzia 2018, lakini sasa mlima ni mrefu kutokana na matokeo...
Fei Toto amebakiza mawili tu Bara BAO la pili lililofungwa na kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ katika dakika ya 35 wakati timu hiyo ikiizamisha Coastal Union kwa mabao 3-0 juzi usiku kwenye Uwanja wa Azam...