Ile shoo ni leo Kwa Mkapa mechi ngumu za ligi, sisi na wachezaji wangu tutafanya kila linalowezekana tuwafurahishe mashabiki wetu. Tutacheza kwa nidhamu kubwa tutakapokuwa tunashambulia tunajua wapinzani wetu...
JIWE LA SIKU: Mabosi Yanga waweka mamilioni mezani Belouizdad apasuke tutafanya kila linalowezekana tuwafurahishe mashabiki wetu. Tutacheza kwa nidhamu kubwa tutakapokuwa tunashambulia tunajua wapinzani wetu watasubiri makosa yetu wakati...
Jinsi Arsenal itakavyoshinda ubingwa msimu huu MSIMU uliopita, Arsenal ilikaa kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England kwa siku 248, muda mrefu zaidi kwa timu ambayo ilishindwa kubeba taji. Ikatibua kwenye mechi saba za mwisho, ambapo...
Dogo Mtanzania awasapraizi Warussia KINDA wa Kitanzania, Harrith Chunga ametajwa kuwa kivutio katika mashindano ya Games of the Future yanayoendelea Russia. Mashindano hayo yanayofanyika kila mwaka yakishirikisha watoto kutoka...
Kwa huyu Akram, wala tusidanganyane! MASHABIKI wengi wa soka wanalikumbuka jina la Hassan Afif kutokana na boli alilotembeza katika michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (sasa Kagame Cup) ya mwaka 1991. Katika...
Refa Yanga, Belouizdad shilingi itasimama HISTORIA ya refa Boubou Traore (34) kutoka Mali, inazilazimisha Yanga na CR Belouizdad ya Algeria kila moja inapaswa kujipanga vilivyo wakati zitakapokutana Jumamosi kuanzia Saa 1:00 usiku kwenye...
Beki Yanga ala shavu Ghana CHAMA cha soka Ghana (GFA) kimemteua beki wa zamani wa Yanga, Joseph Zutah kuwa meneja mkuu wa vituo vyote vya soka nchini humo kuanzia juzi. Mafanikio ambayo Zutah ameyapata katika klabu ya...
PUMZI YA MOTO: Wadhamini Ligi Kuu hamasisheni uzalendo timu za nyumbani na kukuza mapenzi ya watu kwa timu za nyumbani. Mpira wetu ambao unakwenda vizuri hadi sasa utapiga hatua kubwa endapo hamasa itakuwa kubwa kwa timu za nyumbani kila sehemu. Ukienda Geita...
Stand United: Tutawaheshimu Mtibwa Sugar Uongozi wa timu ya soka ya Stand United ya mjini Shinyanga kupitia kwa meneja wake, Fred Masai umesema wamejipanga kupata matokeo chanya katika mchezo wa Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)...
Mastaa Yanga nje wakiisikilizia Belouizdad Yanga imewakwepa kiaina wapinzani wake, CR Belouzidad kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuanzisha kikosi ambacho hakina mastaa wakubwa kwenye mchezo wa Kombe la Shrikisho la Azam...