Spurs yaweka mkakati kwa Harry Kane TOTTENHAM Hotspur inadaiwa kuwa katika mipango mikubwa ya kumsajili straika wa Bayern Munich, Harry Kane dirisha lijalo la majira ya kiangazi mwakani.
West Ham yamfungia kazi Endrik, Valencia, Sociedad zaingilia kati WEST Ham inataka kumsajili straika wa Real Madrid, Endrick kwa mkopo wa nusu msimu dirisha lijalo la majira ya baridi lakini inakumbana na ushindani kutoka kwa Valencia na Real Sociedad ambazo...
Juventus, Barcelona zinapigana vikumbo kwa Bernardo Silva BARCELONA na Juventus zimepanga kumsajili kiungo wa Manchester City, Bernardo Silva,31, ambaye pia anawindwa na timu za Saudi Arabia zikiwamo Al-Ahli, Al-Qadsiah na Al-Nassr.
Barca, Real Madrid mguu sawa kwa Marc Guehi BARCELONA na Real Madrid zinafuatilia kwa karibu suala la beki wa kati wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, 25, ambaye ameonyesha nia ya kutosaini mkataba mpya wakati ule wa...
Jude Bellingham aizamisha Juventus Bernabéu Haikuwa mechi ya kuvutia sana, lakini nyimbo zilizotokea Santiago Bernabéu zilikuwa na ladha ya kipekee. Ilikuwa muda mrefu tangu mashabiki wa Real Madrid wapate nafasi ya kuimba “Hey Jude”, na...
Umewahi kuisikia vita ya masikio? INAWEZEKANA umeshuhudia michezo mingi duniani, lakini kuna baadhi ina upekee kutokana na namna inavyochezwa.
Nyuma ya pazia mabao ya Cristiano Ronaldo SUPASTAA, Cristiano Ronaldo ameandika rekodi mpya ya dunia baada ya kufikisha mabao 140 kwenye soka la kimataifa akiwa anakitumikia kikosi cha Ureno.
Dumfries azichanganya Man United, Man City MANCHESTER United ipo tayari kushindana na Manchester City kwa ajili ya kumsajili beki wa kulia wa Inter Milan, Denzel Dumfries, mwenye umri wa miaka 29, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
PRIME Fadlu ashtuka apanga jeshi kuivaa Tabora United SIMBA jana kilikuwa uwanjani kumalizana na Kilimanjaro Wonders katika mechi ya kiporo ya Kombe la Shirikisho, lakini mapema kocha mkuu wa kikosi hicho, Fadlu Davids ikielezwa ameshtuka mapema na...
POGBACK: Kibonzo cha Pogba cha Man United chashtua mashabiki ETI arudi, asirudi? Swali konki kwa mashabiki wa Manchester United juu ya kiungo wao wa zamani fundi wa boli, Paul Pogba.