Enzo Fernandez aomba kuondoka Chelsea KIUNGO wa kimataifa wa Argentina, Enzo Fernandez, 25, anayekipiga Chelsea anaripotiwa kujiandaa kuwasilisha ombi la kuondoka katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Mtego! Palace ilivyoushika ubingwa wa Arsenal MWISHO wa msimu wa Ligi Kuu England umeingia katika sura nyingine tamu ambayo imeifanya Crystal Palace kujikuta kwenye mazingira magumu huku mbio za ubingwa zikibaki mikononi mwao.
Atletico yakubali kumuuza Julian Alvarez England ATLETICO Madrid ipo tayari kumuuza mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina, Julian Alvarez mwenye umri wa miaka 26, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwenda timu yoyote ya Ligi Kuu...
Sare ya Liverpool, mashabiki wamshambulia Arne Slot UAMUZI wa kushangaza wa kimkakati wa kocha Arne Slot huku Liverpool wakijikuta wakiteleza kwa sare dhidi ya Tottenham Hotspurs kwenye Ligi Kuu England, umepokelewa kwa hisia tofauti na mashabiki...
Maisha ya Kifahari ya Pep Guardiola na utajiri wa Sh280 bilioni! KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola anaishi kibosi sana. Tangu apate jina akiwa na Barcelona, Bayern Munich na sasa Man City, amevuna pesa za kutosha pamoja na mafanikio makubwa ikiwamo...
KUNANI? Real Madrid ikizidi kuzama, Barcelona ikinusa ndoo LaLiga Katika mchezo huo, Real Madrid ilionekana kuwa katika nafasi nzuri ya kuondoka na pointi zote tatu baada ya Vinicius Junior kufunga bao la kuongoza mapema. Hata hivyo, kushindwa kulinda bao hilo...
Hawa hapa mastaa 60 huru EPL KATIKA kipindi hiki cha mwisho wa msimu wa Ligi Kuu England ambapo Manchester City na Arsenal zibakabana koo kwenye mbio za ubingwa, klabu nyingi kwenye ligi hiyo pendwa duniani zinajiandaa kwa...
Ghana yaaga Kombe la Dunia, Colombia kuvaana na Uswisi 16 bora Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, imeaga Kombe la Dunia 2026 baada ya kuchapwa bao 1-0 na Colombia katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Kansas City, Missouri, Marekani.
Kylian Mbappe ni rekodi juu ya rekodi KYLIAN Mbappe sasa amebakiwa na bao moja tu kufikia rekodi ya Lionel Messi katika orodha ya wafungaji bora wa muda wote wa Kombe la Dunia, baada ya kufikisha mabao 19 katika michezo 19 ya...
Hispania ya Lamine Yamal si ya Xavi HISPANIA imerejea kwenye ubora wake wa soka duniani kwa kutinga fainali ya Kombe la Dunia 2026, lakini timu hii ni tofauti kabisa na ile iliyotwaa ubingwa mwaka 2010 nchini Afrika Kusini.