RONALDO TIME : Saa 12 za mkanganyiko za Ronaldo juzi ITS Cristiano Ronaldo time. Baada ya kuwa kimya, akionekana amedorora na kuanza kudharauliwa, sasa muda wake ndio huu. Amerudi tena kivingine na kwa nyodo zake za ndani na nje ya uwanja. Siku...
Ronaldo adai yeye bora kuliko Messi na wakongwe wengine UKITAKA majivuno nenda kwa Cristiano Ronaldo. Hajasubiri kutangazwa, amejitangaza mwenyewe kuwa yeye ni bora kuliko Lionel Messi na mastaa wengine wakongwe wa zamani. Amedai kwamba yeye ni namba...
Mastaa Man United wamtaka Ferguson kumsajili Ronaldo Walimaliza ligi wakiwa nafasi ya tatu wakiwa nyuma kwa pointi 27 dhidi ya vinara FC Porto wakati huo wakinolewa na Jose Mourinho na pointi 16 nyuma ya Benfica ambao walishika nafasi ya pili.
Ronaldo, Messi washikaji, lao moja Ni marafiki ni profesheno ingawa hatuna tabia ya kukutana mara kwa mara nje ya uwanja wa soka, ni hivyo hivyo ulivyo urafiki wangu na wanasoka wenzangu wengine
Neria kumsindikiza Mtukudzi kaburini Kila lilipotokea tukio kubwa, Mtukudzi aliitwa kuimba wimbo huo. Februari 21, mwaka jana katika mazishi ya kiongozi wa chama cha upinzani, Morgan Tsvangirai aliimba na kupokewa kwa majonzi na...
MAKALA... Pep apigwa Mbali na hao kuna wale ambao ni mashabiki kindakindaki wa Ronaldo ambao huwaambia kitu kwa mchezaji huyo.
Simba noma yaamua kumfuata Luis Sauzi HUENDA Yanga hawakuamini zile taarifa zilizoripitiwa na Mwanaspoti juzi kati juu ya mabosi wa Simba kuingiza mkono kwenye usajili wa winga teleza wa UD Songo, Luis Jose Miquissone.
Mkude, Chama, Nyoni wakalia kuti kavu Simba Uongozi wa Simba umesema hatma ya wachezaji wake Jonas Mkude, Gadiel Michael, Erasto Nyoni na Clatous Chama itajulikana baada ya michezo ya timu za taifa.
Messi aibuka kwa mara ya kwanza Barcelona Katika fainali hiyo ya FA Man United iliumana na Millwall na Ronaldo akafunga moja ya mabao matatu ya ushindi ya timu hiyo na akawa mtu muhimu katika safu ya ushambuliaji na ingawa hakuwa nyota...
Bye bye Man United Ronaldo atua Real Madrid, aweka rekodi Kwa Messi ikawa huzuni baada ya Barcelona kumaliza msimu bila taji, mbele ya wengi alitoa kila dalili njema uwanjani kwa kipindi kirefu cha mwaka na uvumi ukaanza kuzagaa kwamba ndiye atakayekuwa...