Uofisa habari wa timu si mipasho, vijembe KIATIKA nchi zilizoendelea Kitengo cha Habari na Mawasiliano katika klabu huambatanishwa na Idara ya Masoko.
Waliokosa wadhamini wapewe nafasi, kura zitaamua KINACHOENDELEA kwenye michezo hivi sasa hasa kwa hapa nchini mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) utakaofanyika Agosti 7, jijini Tanga.
Mganga aibuka na Tenga Uwanjani MICHUANO ya Sports Xtra Ndondo Cup inayodhaminiwa na Gazeti la Mwanaspoti inazidi kushika kasi na kujaa vituko ambavyo huwezi kuvipata na kuviona kirahisi katika kiwanja chochote kinachotumika na...
Wamiliki wa klabu za soka England waliokumbwa na kashfa >MMILIKI wa klabu ya soka ya Birmingham City ya England, Carson Yeung, ametupwa jela huko Hong Kong baada ya kukutwa na hatia ya ufujaji fedha.
Hii ndiyo Stars ya kwenda Kenya KOMBE la Chalenji litaanza Novemba 27 nchini Kenya na mechi zake zitachezwa hadi Desemba 14 siku ambayo bingwa wa michuano hiyo ya vikosi vya taifa kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati atajulikana.
Mwaka unakwisha, Stars haina msingi IMEBAKI miaka mitatu uongozi wa raisi wetu wa awamu ya pili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) umalize muda wake.
Upungufu wa nguvu za kiume unavyotibika HAMU ya tendo la ndoa kwa mwanadamu au mwanamke ni moja ya hisia za msingi kwa mwanadamu wa kawaida kama ilivyo njaa au usingizi.
Makipa Manula, Dida wakabana koo Simba Dida aliyewahi kucheza Simba kabla ya kutimkia Yanga, amerejea katika klabu hiyo na sasa anakwenda kupigania namba na Manula ambaye ni kipa chaguo la kwanza Simba na Taifa Stars.
BIFU TENA: Mourinho amuweka kando Ronaldo WANATOKA taifa moja lakini hawajawahi kupendana wala kupikika chungu kimoja. Ni Jose Mourinho na Cristiano Ronaldo. Wote ni mastaa katika kazi zao na wanapendwa dunia nzima, lakini hawajawahi...
RONALDO TIME : Saa 12 za mkanganyiko za Ronaldo juzi ITS Cristiano Ronaldo time. Baada ya kuwa kimya, akionekana amedorora na kuanza kudharauliwa, sasa muda wake ndio huu. Amerudi tena kivingine na kwa nyodo zake za ndani na nje ya uwanja. Siku...