Saluti! Liverpool yastaafisha jezi ya Diogo Jota LIVERPOOL imeamua kuistaafisha jezi Namba 20 iliyokuwa ikivaliwa na mshambuliaji Diogo Jota ikiwa ni heshima ya kipekee kwa staa huyo wa Ureno aliyefariki dunia kwenye ajali ya gari huko Hispania...
Fainali CWC ni leo usiku! ILE siku ndo leo, kitu kinapigwa usiku. Ni kuhusu fainali ya Kombe la Dunia la Klabu na Chelsea itaonyeshana ubabe na mabingwa wa Ulaya, Paris Saint-Germain uwanjani MetLife huko New Jersey...
Ronaldo anaweza kumpa kila Mtanzania Sh36 milioni HIVI karibuni tovuti mbalimbali duniani ziliripoti kuwa utajiri wa Cristiano Ronaldo umepanda hadi kufikia dola 800 milioni ambazo ni zaidi ya Sh2 trilioni kwa pesa za Bongo.
Timu vigogo Ulaya zazidi kumiminika kwa Leao CHELSEA, Bayern Munich na Manchester United zimeonyesha nia ya kumsajili mshambuliaji wa AC Milan na timu ya taifa ya Ureno, Rafael Leao, 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Dili la Gyokeres, vigogo Arsenal watua Ureno ARSENAL imefanya mazungumzo na wakala wa mshambuliaji wa Sporting, Viktor Gyokeres, jijini Lisbon na imetoa ofa ya Pauni 59 milioni kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Sweden.
Napoli yajitupa kwa Kevin de Bruyne KIUNGO wa kati wa Manchester City, Kevin de Bruyne, mwenye umri wa miaka 33, yuko mbioni kukamilisha uhamisho wa kujiunga na mabingwa wa Serie A, Napoli, ndani ya wiki mbili zijazo.
Ulinzi wa Uefa sio mchezo OPERESHENI kubwa ya usalama yenye polisi wa kutuliza ghasia na ulinzi mkali iliandaliwa nchini Ufaransa kabla ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa kati ya PSG na Inter Milan itakayo pigwa...
Real Betis yaanza mkakati kumbakiza Antony La Liga WAWAKILISHI wa Real Betis watakutana na wale wa Manchester United wiki ijayo kujadili mustakabali wa winga wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 26, Antony, ambaye ameonyesha kiwango bora...
Eh! Vita mpya yaibuka sokoni, Napoli yajitosa dili la Gyokeres NAPOLI ni kati ya timu zilizoingia katika vita ya kuiwania saini ya straika wa Sporting Lisbon na timu ya taifa ya Sweden, Viktor Gyokeres ambaye anawindwa na vigogo kadhaa kutoka England ambao...
Al-Khelaifi: Tajiri wa PSG aliyetimiza ndoto WIKIENDI iliyopita, ulimwengu wa soka ulishuhudia historia ikiandikwa pale jijini Berlin baada ya Paris Saint-Germain kuibuka mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya kwanza katika historia...