X-Mass, Mwaka Mpya kwa Arsenal kicheko KRISMASI na Mwaka Mpya ni kipindi cha harakati nyingi na ubize wa kutosha kwa watu kusafiri kwa sababu ni kipindi cha likizo.
Arsenal vs Manchester United ni mechi ya wanaume MABINGWA watetezi wa Kombe la FA, Manchester United itakipiga na Arsenal baada ya vigogo hao wa Ligi Kuu England kupangwa kumenyana kwenye mechi ya raundi ya tatu ya Kombe la FA baada ya droo...
Man City yafukuzia rekodi chafu England MANCHESTER City ipo kwenye hatari ya kufikia rekodi za hovyo za Manchester United baada ya kushindwa kupata ushindi wowote kwenye mechi zao saba za mwisho katika michuano yote.
JKT yanusa ubingwa BDL FAINALI ya tatu ya Ligi ya kikapu Dar es Salaam (BDL) ilipigwa juzi Jumatatu kati ya JKT dhidi ya UDSM Outsiders ikibakiza mchezo mmoja tu kumjua bingwa wa mwaka 2024.
Palmer ni rekodi tu huko Chelsea STAA, Cole Palmer bado hajabeba mataji kulingana na magwiji wa zama za karibuni kwenye kikosi cha Chelsea, lakini Mwingereza huyo amekuwa mchezaji muhimu kwa rekodi za kibabe kabisa huko Stamford...
Salah mwaka mmoja freshi tu SUPASTAA, Mohamed Salah amefungua milango ya kuongeza mwaka mmoja kwenye mkataba wake huko Liverpool – licha ya klabu hiyo kumvuruga kwa kushindwa kumalizana haraka juu ya jambo hilo.
BILLNASS: Namheshimu Nandy, watoto nane freshi WILLIAM Lymo ndiye 'Billnas' kama hujui na kingine ambacho hujui ni maana ya jina hilo.
Vigogo Madrid watua kwa Diogo Dalot REAL Madrid imefanya mawasiliano na wawakilishi wa beki wa pembeni wa Manchester United, Diogo Dalot, 25, kwa ajili ya kumsajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi na imeandaa ofa ya Pauni 41.5...
Ashley Young kukwaana na mwanaye Kombe la FA STAA wa Everton, Ashley Young atakabiliana na mtoto wake wa miaka 18, Tyler kwenye michuano ya Kombe la FA.
PRIME Utata Ngassa kuwa mfungaji bora wa Taifa Stars Tarehe kama ya jana, Disemba Mosi, mwaka 2006, Mrisho Khalfan Ngassa aliifungia Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) bao moja katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Djibouti, kwenye mashindano ya CECAFA...