Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9003 results for Mwandishi :

  1. Watkins, Marcus Rashford kupishana Man United

    MANCHESTER United inaangalia uwezekano wa kufanya mabadilishano na Aston Villa na inataka kumtumia Marcus Rashford ili wampate Ollie Watkins.

    FUNUNU Pict
  2. Waarabu waweka dau nono kwa Moises Caicedo

    Ripoti kutoka tovuti ya Telegraph, zinaeleza kwamba Chelsea inaweza kuwa tayari kumuuza fundi huyu lakini kwa kiasi cha pesa ambacho kitakuwa zaidi ya Pauni 100 milioni.

    FUNUNU Pict
  3. Man United ni wao tu kwa Osimhen, Chelsea yajitoa

    MANCHESTER United imeripotiwa kujiandaa kufanya usajili mkubwa kwenye dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya kiangazi ili kumpatia kocha Ruben Amorim kikosi ambacho kitakuwa na nguvu ya...

    TETESI Pict
  4. Rodrygo achomoza usajili mpya Arsenal

    ARSENAL inakuwa ni timu ya hivi karibuni kuulizia uwezekano wa kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid, Rodrygo Silva de Goes ‘Rodrygo’ ili kumsajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi.

    TETESI Pict
  5. MAGUIRE: Kumbe jamaa ana mkwanja wa maana

    HARRY Maguire. Jina maarufu sana kwa mashabiki wa soka, hasa kwa wale wafuatiliaji wa Ligi Kuu England. Anafahamika vyema. Ni beki wa boli.

    MAGUERE Pict
  6. Rashford akomalia kusepa Man United

    MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa England na Manchester United, Marcus Rashford anadaiwa kuungana na wakala wake, Pini Zahavi kutia presha katika mpango wake wa kuondoka Old Trafford ikielezwa kwamba...

  7. Antony, Man United basi tena, Atletico yatia neno

    WWINGA wa Manchester United na timu ya taifa ya Brazil, Antony Matheus dos Santos maarufu kama Antony, 25, hana nafasi ya kurudishwa msimu ujao baada ya mkopo wake Real Betis kumalizika mwisho wa...

  8. Wirtz asababisha kwa Man City, Bayern Munich

    BAYERN Munich wanaamini wapo katika nafasi nzuri ya kuipuku Manchester City kwenye harakati za kuiwania saini ya kiungo mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz ambaye amepewa ruhusa ya...

  9. Henry ataka bao la ugenini lirudi Ulaya

    SUPASTAA Thierry Henry amesema angependa kuona sheria ya bao la ugenini irudishwe baada ya Barcelona na Inter Milan kufungana mabao 3-3 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya nusu fainali ya Ligi ya...

    HENRY Pict
  10. Arsenal yamkomalia Tchouameni dili la Saliba

    ARSENAL imeiambia Real Madrid kuwa itakuwa tayari kumuuza beki wa kati wa kimataifa wa Ufaransa, William Saliba endapo tu itapewa nafasi ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa nchi hiyo, Aurelien...

Previous

Page 585 of 901

Next