Angachi ataja sababu ya kuchagua jeshi na kukacha soka la kulipwa Ulaya Wakati wachezaji wengi wa soka wanaota kucheza soka la kulipwa nje ya nchi, kiungo wa Ulinzi Starlets na Harambee Starlets, Sherly Angachi Andibo amechagua njia tofauti akijiunga na jeshi ili...
Vigogo Man United bado wanajikongoja kwa Delap MANCHESTER United inapambana kuhakikisha inaipata saini ya mshambuliaji wa Ipswich Town na England, Liam Delap katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi licha ya kumuweka katika rada zao Victor...
Madrid v Man City kuna mtu atapata aibu MWISHO wa ubishi wote ni usiku wa leo, juu ya swali la timu gani itapenya kwenda mtoano wa hatua ya 16 Bora katika Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Real Madrid na Manchester City.
Man City yatua kwa Florian Wirtz, Bruno Guimaraes VIUNGO wawili, Florian Wirtz wa Bayer Leverkusen na Bruno Guimaraes, 27, anayeichezea Newcastle United wameingia katika rada za Manchester City inayohitaji kuwasajili dirisha la majira ya baridi...
Amorim apewa mbinu kuinusuru Man United NDO hivyo. Kocha Ruben Amorim ameambiwa aangalie tu wachezaji wanaofiti kwenye mtindo wake wa uchezaji ili kunusuru hali ya mambo kwenye kikosi cha Manchester United, anafichua Chris Sutton.
Yanga!... Haya ni maajabu JANA saa 12:30 jioni Yanga ilikuwa pale Ruangwa mkoani Lindi kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo. Timu hizo zilikutana zote zikiwa hazina matokeo ya kuridhisha.
Chiesa aingia anga za Napoli kumrithi Khvicha NAPOLI imepanga kumsajili winga wa Liverpool, Federico Chiesa, 27, dirisha lijalo ili akazibe pengo la mshambuliaji wao raia wa Georgia, Khvicha Kvaratskhelia ambaye anahusishwa kuondoka Januari...
PRIME Uamuzi mgumu Yanga HESABU za Yanga kwa sasa hazipo sawa baada ya kupoteza mechi ya pili ya Kundi A katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ikitishia tumaini la kucheza robo fainali kwa msimu wa pili mfululizo...
Real Madrid haitaki utani, yatua kwa Cole Palmer Palmer ambaye amekuwa katika kiwango bora tangu ajiunge na Chelsea katika dirisha la majira ya kiangazi mwaka jana, mkataba wake wa sasa unatarajiwa kumalizika mwaka 2033.
Rabiot apambana Pogba kutua Marseille MARSEILLE inataka kuanza mazungumzo na wawakilishi wa kiungo raia wa Ufaransa, Paul Pogba ili kumsajili mwakani mara baada ya adhabu yake ya kufungiwa kutokana na kutumia dawa zisizoruhusiwa...