Morrison ageuka mbogo Ghana kutofuzu Afcon Winga Bernard Morrison ameishutumu timu ya taifa ya Ghana kwa kuwa na ubaguzi katika kuita wachezaji wa timu ya taifa jambo analoamini linachangia ifanye vibaya katika mashindano mbalimbali.
Mabosi wa Real Madrid waweka mtego kwa Van Dijk REAL Madrid inaripotiwa kusikilizia kwa mbali hali ya mambo yanavyoendelea kwa beki wa kati wa Liverpool, Virgil van Dijk na hatima ya mkataba wake.
Tottenham, Arsenal zapania kuinasa saini ya Nico Williams TOTTENHAM na Arsenal zipo tayari kulipa Euro 58 milioni Athletic Bilbao kwa ajili ya kuipata saini ya winga wa timu hiyo na Hispania, Nico Williams.
Staa anayesakwa Man United atakavyoleta utamu kikosini ACHA shoo ianze tuone. Hicho ndicho unachoweza kusema baada ya kuelezwa kwamba, mchezaji Patrick Dorgu anaweza kuwa majibu ya shida nyingi zinazomkabili kocha Ruben Amorim kwenye kikosi cha...
Mo Salah kuziba pengo la Neymar Al-Hilal Saudia BAADA ya kuvunja mkataba na supastaa wake Neymar Jr, timu ya Al-Hilal inataka kumsajili winga wa Liverpool na Misri, Mohamed Salah, 32, katika dirisha hili la usajili ili kuziba pengo lake.
Neymar anataka kutimkia Brazil, kutua Santos MSHAMBULIAJI wa Al-Hilal, Neymar, 32, anataka kuachana na timu hiyo katika dirisha hili na kurudi Brazil kujiunga na Santos ambayo ni timu yake ya utotoni.
Galatasaray wahaha kwa Osimhen, Waarabu watajwa NAPOLI imekataa ofa ya Euro 65 milioni kutoka Galatasaray inayohitaji kumsajili straika wao raia wa Nigeria, Victor Osimhen dirisha hili.
Real Madrid yamfungia kazi Vinicius Jr WAWAKILISHI wa Mshambuliaji wa Real Madrid na Brazil, Vinicius Jr, 24, wapo katika mazungumzo na mabosi wa timu hiyo kwa ajili ya kumuongeza mkataba wakati ule wa sasa ukitarajiwa kumalizika...
PRIME Balaa la Waarabu! Kumng'oa Ngoma Msimbazi KLABU kutoka ukanda wa Afrika Kaskazini, maarufu kama Waarabu wameendelea kuvuna watu kutoka katika Ligi Kuu Bara baada ya safari hii kuivamia Simba na kumwekea mezani kiungo Fabrice Ngoma kitita...
PUMZI YA MOTO: Kama inawezekana kwenye muziki, kwanini ishindikane kwenye mpira Miaka ya 1980 na hata nusu ya kwanza ya miaka ya 1990 hakukuwa na tofauti kubwa ya nguvu za kiuchumi na ufundi kati ya soka la Bara na Zanzibar.